Aisee umenichekesha nasoda yako tukibahatika kuonanahii kazi wangewaachia TANESCO kusingekua na kelele za michina asaiv.
Hahahaaaa bonyeza okView attachment 357206 mimi yangu washafanikiwa tayari jamani kuizima.
Haina imei?Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.
Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!
Tulia ndugu wanazima moja moja mpaka sasa wamesha zidaka simu 630,000 sasa cm yako labda ya 630,000 just waitMimi simu yangu isiyo na IMEI kabisa bado inadunda na kushika mtandao kama kawaida hadi hii mida 00:07. Vipi wewe imepoteza network ya kwako?
Duuuuh, mkoa gani mkuu ili nami nijiandae maana wahenga walisema "ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji"View attachment 357206 mimi yangu washafanikiwa tayari jamani kuizima.
Dar es salaamDuuuuh, mkoa gani mkuu ili nami nijiandae maana wahenga walisema "ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji"
Mm mwenyewe bado na kibaya zaidi nilishakopa hela nyingi za kununua mpya;!!!
Hii nchi kuanzia baba je.si.ka mpaka mfagia ofisi wote ni wasaniiHaina imei?
Aiseeee!!! Kaka unajua imei n nini?
Sio kwamba watazima simu zote simu nyingi sana sio feki ni 3% ya simu zote tz ndio zitazimwa.. Unaambiwa kampuni yenye simu nyingi feki ni kama laki tatu tu..
Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.
Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!

Mmmmh basi yetu huku kwa mtoto wa mkulima bado haijafika ila kumbe hatutasalimika.Dar es salaam