Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74

Ni Hayo tu wanaJF

More update to come...............................

na lusinde je kapata ngapi?
 
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74

Ni Hayo tu wanaJF

More update to come.......................... .....
 
Hi itakuwa katika yale mabox ya lusinde
 
hahahah hwachomoki eeee!!??
 
Mind Game. Hivi vituo vinafungwa saa ngapi?, na kama ni saa kumi how come ndani ya nusu saa muanze kutangaza?, Ina maana kulikuwa hakuna watu kwenye mstiri ambao saa kumi iliwakuta kisheria wanatakiwa kuruhusiwa kupiga kura. The ealiest results ilitakiwa kuanzia saa kumi na moja.

Halafu fools day mwisho ni saa nne asubuhi sasa wewe mpaka saa kumi na nusu bado upo tu!
 
wakuu nimeona ni vema kuwa na thread moja itakayotumika kuleta updates za uchaguzi huko arumeru east.

Uchaguzi huu wa mbunge wa arumeru east unahusisha jumla ya kata 17 na vituo 327 vya kupigia kura.

Majina ya kata ni kama ifuatavyo;

KINGORI
LEGURUKI
NGARENANYUKI
MARORONI
KIKATITI
MAKIBA
MBUGUNI
KIKWE
MAJI YA CHAI
USA RIVER
NKUARANGA
SONGORO
POLI
SINGISI
NKOARISAMBO
AKHERI
NKOARUA

mkurugenzi wa uchaguzi ndg Trasias Kagenzi amewahakikishia wananchi usalama upo wa kutosha.vituo vitafungwa mida ya saa kumi jioni.na anatarajia mpaka kufikia saa saba usiku masanduku yote ya kura kutoka kata zote yatawasilishwa ofisi za halmashauri.

Ametoa namba ya sms kwa wale wanaotaka kujua vituo vyao vya kupigia kura-15540

DOSARI
mgombea wa cdm alimpigia simu kulalamika juu ya mawakala wa cdm kuzuiliwa nje ya vituo vya kura kwa kukosa
fomu za kiapo,hata hivyo amewaelekeza wasimamizi wote kuwa kitambulisho cha wakala kinatosha

mwenyekiti wa ccm kijiji cha akeri anapotoka Siyoi akamatwa akiwaelekeza watu kumpigia kura Siyoi.amesema maelekezo haya amepewa na chama chake.

Mwigulu mchemba akamatwa na polisi baada ya kuhusishwa na kampeni/rushwa kanisani.

TENDWA:jukumu la mpiga kura ni kupiga kura na sio kulinda kura.

UPDATES.....`
JOSHUA NASARI ;mgombea wa chadema ameshapiga kura.yapata dk 45 zilizopita.

Watu wameanza kujitokeza kwa wingi kulinganisha na asubuhi wakitokea makanisani.

Vijana wametikia wito wa kulinda kura.

Penye nyekundu ndipo zaidi panapoonyesha kuwa hatuna lolote toka tume ya uchaguzi ma mwenyekiti wake Tendwa. Amekuwa muflisi kiasi kuwa hata wizi wa CCM anautetea kwa njia yoyote! yeye anajua ni jinsi gani CCM wakishirikiana na Polisi wao wadhoofu, wanaiba kura, na hivyo kulinda kura ni lazima lakini yeye anasema sii jukumu la raia! Tendwa akili yake imetekwa hivyo kwamba hajui hata la kuongea inapokuja CCM wakikiuka sheria za uchaguzi na kuiba waziwazi!
 
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74

Ni Hayo tu wanaJF

More update to come.......................... .....

Duh.. kuna kata ina watu wachache kuliko kituo?. presha inakupanda sasa
 
Umerudia mara nne sasa au unasisitiza?
 
Ukombozi wa kweli utapatikana kwa kila mmoja kutambua haki yake na ya taifa na kuilinda kwa gharama yoyote! Viva CDM!
 
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74

Ni Hayo tu wanaJF

More update to come.......................... .....
Panaitwa Poli, sio Pori
 
Tuendelee kuchunga kura hadi mwisho,tulianza na Mungu tumalize na Mungu. Ushindi ni baada ya kura kuhesabiwa na kujumlishwa. Tumkumbuke dicteta Stalin aliyesema'mpigakura hana kauli ya mwisho ila mhesabu kura'.Tulinde kura zetu, magamba ni wataalamu wa kuchachua!
 
nacikia mwamko wa vijana ni mdogo sana, hivi kwa nini hili linajirudia rudia!!! inaumiza vichwa!!! kama kawa ni Akina mama na wazee!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom