Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Vituo vya Usariver A na B CCM inaongoza.
Source Mlimani TV now!!

acha uongo wewe, nipo nafuatilia live mlimani tv, wametoa matokeo ya awali ya vituo vinne ikiwamo hivyo ulivyovitaja ila vyote CDM inaongoza.
 
Matokeo ya awali hali ya CCM ni mbaya kuna
CCM 26 - CDM 142
CCM 27 - CDM 131.

Vituo vingine hali haitofautiani sana. Matokeo hayo ni ya baadhi ya vituo vya USA.

Mkuu tutajie na majina ya vituo ili tuingize kwenye list.

 
wakuu nimeona ni vema kuwa na thread moja itakayotumika kuleta updates za uchaguzi huko arumeru east.

Uchaguzi huu wa mbunge wa arumeru east unahusisha jumla ya kata 17 na vituo 327 vya kupigia kura.
Jumla ya wapiga kura 127456 wanatarajiwa kupiga kura.
Majina ya kata ni kama ifuatavyo;

KINGORI
LEGURUKI
NGARENANYUKI
MARORONI
KIKATITI
MAKIBA
MBUGUNI
KIKWE
MAJI YA CHAI
USA RIVER
NKUARANGA
SONGORO
POLI
SINGISI
NKOARISAMBO
AKHERI
NKOARUA

mkurugenzi wa uchaguzi ndg Trasias Kagenzi amewahakikishia wananchi usalama upo wa kutosha.vituo vitafungwa mida ya saa kumi jioni.na anatarajia mpaka kufikia saa saba usiku masanduku yote ya kura kutoka kata zote yatawasilishwa ofisi za halmashauri.

Ametoa namba ya sms kwa wale wanaotaka kujua vituo vyao vya kupigia kura-15540

DOSARI
mgombea wa cdm alimpigia simu kulalamika juu ya mawakala wa cdm kuzuiliwa nje ya vituo vya kura kwa kukosa
fomu za kiapo,hata hivyo amewaelekeza wasimamizi wote kuwa kitambulisho cha wakala kinatosha

mwenyekiti wa ccm kijiji cha akeri anapotoka Siyoi akamatwa akiwaelekeza watu kumpigia kura Siyoi.amesema maelekezo haya amepewa na chama chake.

Mwigulu mchemba akamatwa na polisi baada ya kuhusishwa na kampeni/rushwa kanisani.

TENDWA:jukumu la mpiga kura ni kupiga kura na sio kulinda kura.

UPDATES.....
JOSHUA NASARI ;mgombea wa chadema ameshapiga kura.yapata dk 45 zilizopita.

Watu wameanza kujitokeza kwa wingi kulinganisha na asubuhi wakitokea makanisani.

Vijana wametikia wito wa kulinda kura.maeneo ya patandi,usa,makumira,maji ya chai...kuna makundi makubwa ya watu wakiwa kwenye hali ya utulivu.

Kuna taarifa kuwa kuna wafuasi wanaosadikiwa kuwa wa ccm wamezingira maeneo ya hospitali ya wilaya.haijajulikana kumetokea nini.

Matokeo yanaendelea kubandikwa kwenye vituo mbalimbali.

Wanabodi ni matokeo ya kituo Usa river shule
CDM=227
CCM=74
STAY TUNE
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom