Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Charles Ngereza akiwa kwenye kata za Kigwe na Mbuguni(sina hakika kama nimesikia sawa sawa) kwa ujumla vijana wamejitokeza wengi kuliko wazee

Uko sahihi mkuu,hata mimi nimesiki tbccm kua waliojitokeza wengi wao ni vijana!
 
There are currently 559 users browsing this thread. (161 members and 398 guests)
 
hawa itv wakati wa kampeni walikuwa wanafnya popaganda na kuatetea magamba.........hata leo wanapoongea hapo kuna propaganda nyingi...
 
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74


Ni Hayo tu wanaJF

More update to come.......................... .....
Haiwezekani nusu saa uwe umeshapata matokeo, ni uongo
 
Wakuu, habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kuna vijana wa ccm wameshikwa na kura 3000 huko Arumeru wako chini ya ulinzi wa polisi. Vijana wa toyo wa wa miguu wanakizingiza kituo cha polisi. Polisi wanazungushia yellow ribon.

Source mojawapo wa waangalizi wa uchaguzi.
 
Mtu akilogwa na magamba wenzie utamjua tu!,wewe umelogwa!

umeonaee,kituo kimoja kisheria ina wapiga kura 350 mpaka 400.na hao ote hawatajitokeza kwa kuwa kuna kuhama,kupotea shahada kusafiri na vifo,uzoefu wangu arusha mjini kituo chenye 400 wanajitokeza watu 180,HUYU ANAE2PA MATOKEO FEKI NI KIAZI buruka
 
Nimekusika Padri! Halafu chama chenu kikihusishwa na Kanisa mnakasirika!

Mkuu Rejao,
Naskia jana ulikuwa KiNG'ORI unachanjwa chale matakoni na Profesa Maji Marefu.
 
Ni vyema kila kata kukawa na timu inayoratibu matokeo kwa karibu na kutoa taarifa mapema!! Vipi utaratibu wa kuhesabu unafanyika hapo hapo kituoni au mpaka mabox yapelekwe kwa mkurungezi wa kupiga kura. All the best East Arumeru, mkirudia kufanya kile kile mkitegemea kitu tofauti basi majuto ni mjukuu.

Jamani haya majina mengine hata kama siyo ya kweli hakika yanaleta utatanishi: WA - UKE - NYEGE !!!!??????
 
Wakuu, habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kuna vijana wa ccm wameshikwa na kura 3000 huko Arumeru wako chini ya ulinzi wa polisi. Vijana wa toyo wa wa miguu wanakizingiza kituo cha polisi. Polisi wanazungushia yellow ribon.

Source mojawapo wa waangalizi wa uchaguzi.

Kina lusinde presha inapanda huko!!
 
Waiting to hear good newz from there, keep on updating us on the result
 
Imegundulika kwamba vijana wengi hawajashiriki kwenye upigaji kura huko Arumeru na kuonekana kuwa idadi kubwa ya waloshiriki wengi wao ni wazee na watu wazima na kufanya baadhi ya vituo hata walopiga kura washindwe kufikia nusu idadi ya waliojiandikisha"

My take: Suala la vijana kushiriki kwa bidii kwenye kampeni na kutoshiriki zoezi la kupiga kura ni moja ya sababu ya migogoro kwa matokeo ya uchaguzi, umefika wakati vijana wapewe elimu sahih juu ya umuhimu wa kutekeleza haki yao hii ya msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom