Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI
Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74
Ni Hayo tu wanaJF
More update to come.......................... .....
nacikia mwamko wa vijana ni mdogo sana, hivi kwa nini hili linajirudia rudia!!! inaumiza vichwa!!! kama kawa ni Akina mama na wazee!!

Waliopiga kura ni Kinamama na Wazee...Vijana walikuwa nje na marungu na mbwa wakilinda kura!!
Hamna kituo kilichofikisha asilimia 50% ya kura zilizotarajiwa zipigwe. Wengi wameogopeshwa na vitisho kutoka kwa vijana waliokuwa wanadhaniwa ni wa CDM!
Propaganda za CCM hizo, picha zote zilivyopigwa zimeonyesha mwamko kwa watu wa rika lote..Novatus Makunga amaekula Mlungula ili kuvunja watu nguvu. Hao ndio waandishi makanjanja, akina Pasco wapokea vibahasha.
Propaganda za CCM hizo, picha zote zilivyopigwa zimeonyesha mwamko kwa watu wa rika lote..Novatus Makunga amaekula Mlungula ili kuvunja watu nguvu. Hao ndio waandishi makanjanja, akina Pasco wapokea vibahasha.
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI
Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74
Ni Hayo tu wanaJF
More update to come.......................... .....
Na Charles Ngereza kala mlungula kutoka CDM?Propaganda za CCM hizo, picha zote zilivyopigwa zimeonyesha mwamko kwa watu wa rika lote..Novatus Makunga amaekula Mlungula ili kuvunja watu nguvu. Hao ndio waandishi makanjanja, akina Pasco wapokea vibahasha.
rejao unawasikiliza hawa waandishi wa itv?!!!!
Nasilizia habari za ushindi kutoka source mbalimbali....rejao unawasikiliza hawa waandishi wa itv?!!!!