Je hao ndio wale wale wa Embeseni? kuna mtu ametoa story kama hiyo ila kuna tofauti kidogo. kwamba walikuja na kuanza kuvurumsha mawe laki huyu anaaema walivurumishiwa mawe. labda ni vituo viwili tofaiti na hivyo matukio ni tofauti

Navyowajua wachaga hawawezi kufanya kazi isiyo na maslahi....tukubali tu the main motive ya hao wabunge kufanya hivyo ni hela otherwise wangekuwa waangalizi wakuu across vituo vyote na si kustick kwenye kituo kimoja.
Mkuu wanaruhusiwa kuanza kuhesabu mapema kabla ya kufunga vituo?Nipo hapa kikwe,napenyezewa na wakala kwa njia ya simu tukiwa doria kuwa mpaka sasa alikuwa na kura za nassari punde zipatazo 54 dhidi ya 8 za sioi wa ccm,amedai kuwa wameanza kuhesabu mapema baada ya watu kujitokeza alfajiri.
Hilo GEPU si Mchezo..dalili zinaanza kuonekana mapemaaaaaa!