Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Hureee chadema wacha kabisa...nasari huyooo mjengoni
 
peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr ni nouma,magamba mpo hapo?
 
Hapa arumeru sasa vituo vimefungwa tunasubiri matokeo. Nitawaletea maatokeo live kituo kwa kituo. Subirini punde matokeo
 
Hamna lolote, zinahesabiwa kura 60 tayari unasema chadema wanaongoza, funny!
 
Nunua kabia na kambuzi bana kona furahia. Chadema imeshinda arumeru. Nitarudi hapa baada ya matokeo.
 
tanzania tuache upuuzi....... taratibu zinafahamika, sasa hayo ya kuanza mapema sijui kuanza badae ni kuleta speculations zisizo na tija

tuna wawakilishi tuliowakabidhi dhamana, acheni wafanye kazi.... kura zinapigwa Arumeru lakini tuko mbio kukimbilia kuhesabu, yatakua yaleyale ya Igunga kupeana moyo kwenye keyboard wakati kazi infanyika kwenye mavumbi
 
Nipo hapa kikwe,napenyezewa na wakala kwa njia ya simu tukiwa doria kuwa mpaka sasa alikuwa na kura za nassari punde zipatazo 54 dhidi ya 8 za sioi wa ccm,amedai kuwa wameanza kuhesabu mapema baada ya watu kujitokeza alfajiri.
Goodnews... Wera weraaaaaaa!!!
Waiter niongezee Kili nyingine... Mwambie na wa jikoni aongeze kilo nyingine ya mdudu pork, naona kila dalili ya kukesha leo...
 
Saa zingine watu kuweni serious. Kura zihesabiwe kabla ya muda na mtu akija kupiga kura wakati box lishafunguliwa? Huoni huo ni uwongo?
 
kazi kweli kweli,ushabiki bwana.leo heshima ya wana arumeru imekwisha.magari yameanza kurudi dar,hawana maana tena
 
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa kuwa SIOI wa CCM anaongoza kwa vituo 4
Hii ni dalili nzuri kwa SIOI

Kata ya Pori CCM (SIOI) 102 na Chadema (nassiri) 21
Kituo cha Mwekecha (SIoI) 432 na chadema (Nassiri) 56
Kituo cha mwembeni User River CCM (SIOI) 239 na chadema (Nassari) 127
Kituo cha shule ya himo CCM (sioi) 54 na chadema (Nassiri) 74


Ni Hayo tu wanaJF

More update to come...............................
 
We mchawi au ndo zenu mnataka kutuzuga tuache kuchunga kura zetu tushangilie hafu nyie mchakachue siyo?? nyambafu we!!
 
Asante sana mtalaam kwa kutujuza taarifa hizo za Arumeru,endeleeni kutufahamisha ss tulio mbali na huko ila tunawaombea kwa Mungu wetu,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom