Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,113
- 285,865
Suala la kutii sheria bila shuruti liko wazi kabisa. Kama hamtaki kufuata. Mpigwe tu!
leo ndio nimekudharau kabisaaaaa!
Suala la kutii sheria bila shuruti liko wazi kabisa. Kama hamtaki kufuata. Mpigwe tu!
Kazi ipi? Elimu hatuna - Shule chache alizoasisi mwalimu mmeziua zote kwa makusudi, Sera ya kilimo kwanza utapeli mtupu, Tukiuza soksi mnatupiga virugu, tukipika maandazi mnatupora masufuri yetu, - sasa ni kazi gani mkuu unaongelea weye ili tufanye? Lazima tuandamane tu tuna mengi yanatutia hasira achilia mbali hili la katiba!!Mafanikio ni juhudi binafsi za mhusika. Sasa muda wa kazi badala ukatafute fedha wewe unaandamana na wahuni halafu unailaumu serikali.
Polisi wachokozi sana. Kwani kumsindikiza mwenyekiti wao kumevunja sheria gani
Viongozi wa CHADEMA kama wanataka maandamano wachukue wake zao na watoto waona pia wake nao wachukue waume wao watangulie mbele waandamane na sio kukaa majumbani na kuangalia vijana wanavyopata vilema vya kudumu na wengine kuuawa wenyewe wakikaa kwenye TV kuangalia hali iendavyo tumewachoka.
Kinachoendelea mda huu.View attachment 186088View attachment 186090
Kazi ipi? Elimu hatuna - Shule chache alizoasisi mwalimu mmeziua zote kwa makusudi, Sera ya kilimo kwanza utapeli mtupu, Tukiuza soksi mnatupiga virugu, tukipika maandazi mnatupora masufuri yetu, - sasa ni kazi gani mkuu unaongelea weye ili tufanye? Lazima tuandamane tu tuna mengi yanatutia hasira achilia mbali hili la katiba!!
yes mkuu, na u-jobless wao umesababishwa na serikali dhaifu ya chama cha mapinduzi.
Natamani tuzike baadhi kuanzia kesho jamani
Mkuu tunachekana?Wengine tuko Zenji bhana huku maandamano,migomo ni kharam kabisa,ukiandamana risasi ya moto inakuhusu ndio maana tunataka updates kutoka kwa nyie huko wenye uhuru na haki ya kuandamana kugoma,kuzila,kususa,kusepa nk!Waliokuwa wanasema jana kuwa kesho tutakuwa mstari wa mbele ndo wanaomba updates wapo na vi-keyboards,ukamanda ni shida
MLIANZA NA SHETANI MTAMALIZA NA IBILISI[/QUOTE][QUO TE=Arnold Ringo;10631851]Nawakumbuke Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
NI KWELI hii MAKAMANDA?
KAMA NI KWELI BASI MACCM YATAJINYEA
Waliokuwa wanasema jana kuwa kesho tutakuwa mstari wa mbele ndo wanaomba updates wapo na vi-keyboards,ukamanda ni shida