Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

yes mkuu, na u-jobless wao umesababishwa na serikali dhaifu ya chama cha mapinduzi.

Mafanikio ni juhudi binafsi za mhusika. Sasa muda wa kazi badala ukatafute fedha wewe unaandamana na wahuni halafu unailaumu serikali.
 
Serikali ya ccm inaendelea kutumia mabavu hivi walio msindikiza Kamanda Mbowe kwenda kuhojiwa na polisi wana makosa gani?
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1411038281.651942.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411038281.651942.jpg
    99.7 KB · Views: 994
  • ImageUploadedByJamiiForums1411038368.427711.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411038368.427711.jpg
    116.5 KB · Views: 836
  • ImageUploadedByJamiiForums1411038420.987016.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1411038420.987016.jpg
    74.8 KB · Views: 820
maandamano sio kitu kizuri police wafikie mahali waangalie tuu kuliko kuanza kufukuza watu na kuanza kupiga watu bila sababu,wawasikilize na wamwambie mbowe awaambie waondoke wataondoka kuliko kuanza kuwapinga ndio fujo zitaanza.Tumwombe Mungu awalinde wote na kila mmoja aelewe jukumu lake
 
Wanaongoza chama kama chadema hawana tofauti na ndugu zetu wa pale milembe nadhani hawako sawa kabisa.
 
Mafanikio ni juhudi binafsi za mhusika. Sasa muda wa kazi badala ukatafute fedha wewe unaandamana na wahuni halafu unailaumu serikali.

wanaoandamana hawana kazi. kwa hiyo wanaona kuliko wakae bure ni bora wakaandamane because they share 'a common enemy'
 
maandamano sio kitu kizuri police wafikie mahali waangalie tuu kuliko kuanza kufukuza watu na kuanza kupiga watu bila sababu,wawasikilize na wamwambie mbowe awaambie waondoke wataondoka kuliko kuanza kuwapinga ndio fujo zitaanza.Tumwombe Mungu awalinde wote na kila mmoja aelewe jukumu lake
Huwezi kubembeleza wajinga ambao wamejitoa ufahamu mimi nashauri polisi watumie risasi za moto kuwatawanya wakipiga risasi watu kama 20 hivi wengine akili zitarudi watakimbia kama sungura.
 
Ukimuona mtu anatetea yanayoendelea kt ya police na raia wema nawaita mazuzu tu!kama kweli ni Mtanzania mzalendo asingethubutu kusema utumbo,hebu tizama uchumi wa wananchi na rasilimali tulizonazo!halafu ulinganishe maisha ya kiongozi wa juu serikalini na mwananchi wa kawaida!hivi nyie hamuoni ni jinsi gani CCM wanavyowagandamiza watu;si elimu,afya,ajira,ni shida kila siku!muogopeni Mungu
 
we mwehu kweli hii mbona ni picha moja umeitupia mara nyingi na kuiunganisha unganisha.
 
Viongozi wa CHADEMA kama wanataka maandamano wachukue wake zao na watoto waona pia wake nao wachukue waume wao watangulie mbele waandamane na sio kukaa majumbani na kuangalia vijana wanavyopata vilema vya kudumu na wengine kuuawa wenyewe wakikaa kwenye TV kuangalia hali iendavyo tumewachoka.
 
zimezuka vurugu kubwa na waandishi wawili wamejeruhiwa. waandishi walikua makao makuu ya polisi
sosi mlimani tv
 
mbona mji hauna hata kelele za mandamano hakuna kabisa.
 
Back
Top Bottom