simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,779
- 9,702
Namkumbuka sana Mahita kwenye shughuli hizi
Namkumbuka sana mauaji ya Pemba. Nakumbuka risasi,
walifyatua risasi za moto, siyo maji wajukuu wa Kinjeketile.
Namkumbuka sana Mahita kwenye shughuli hizi
Kamanda wa Anga Mhe. Freeman Mbowe ameshayoka baada ya kumaliza mahojiano na polisi ccm..
Baada ya presha kubwa na mbinu za polisi kuwekwa hadharani mpango wao mzima wamesalimu amri na kumwacia Mbowe kwa kujidhamini ......sasa anaenda kutoa kauli kwenye makao makuu ya Chadema .....
Tulia mama uandike vizuri siyo unakurupuka tu kama shangingi lililopigwa kimoja...
Wewe bila chadema ungekuwa na ajira tahira wewe....kuajiriwa kwako kuitukana chadema ni bora sasa ushukru chadema ungesha kufa njaa pumbavu wewe...
Wewe si muuza chupi mwenzao aka shangingi mwenzao hawana cha kukufanya sana sana mnaeweza kupanga dili za kusambaza bangi...
tafadhari sana kamanda, afya yake ihakikiwe na madaktari wanaoaminika , sina imani na jeshi la polisi .Kamanda wa Anga Mhe. Freeman Mbowe ameshayoka baada ya kumaliza mahojiano na polisi ccm..
tafadhari sana kamanda, afya yake ihakikiwe na madaktari wanaoaminika , sina imani na jeshi la polisi .
Kinachoendelea mda huu.View attachment 186088View attachment 186090
Huyo polisi aliyempiga wa Dailynews ningempata ningempa Zawadi maana ni waongo sana, atafutwe wa jambo leo, habari leo , uhuru na yale magazeti yafFreemason na Illuminatt ....Sasa mkuu waandish wa habar wamewakosea nn??
Hivi ccm wanafanya ubabe kama vile nchi ni yao?
Hata darsani koama mwalimu anafundisha alafu wewe unaleta masihara yako utatoka na zero tu, vivyo hivyo katika maisha ukitumia muda mwingi kutafakari juu ya maisha ya wengine badala ya kuangalia yako utaishia pabaya, sasa vijana wengi wanafikili ikitawala chadema ndio ajira zitapatikana kwa wingi ni upuzimtupu.maisha yako yako mikononi mwako wala sio kwa mbowe walalDr Slaa, hata JK ana nafasi ndogo sana katika maisha yangu,mtajunjwa miguu alafu iwe ndio mwisho wa maisha yako na familia inayokutegemea .
dawa ya moto ni moto , sisi huwa haturembi mjomba , ukiboronga unapewa za uso !Duh! vijana wanaotegemewa magogoni 2015 yangu macho.