assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
waandishi wanapaswa kutupa habari. kama kupigwa wapigwe chagadema. this is nonsense
maaandamano bado Leo kumsindiliza kamanda
Watoto wa Kikwete bwana kwa sababu muna mabiashara kwa damu za watanzania basi huwa munajitoa ufahamu hao wanaokatwa miguu kwa amri ya baba yako asubiri kwenda za hague kuleni lakini musazeViongozi wa CHADEMA kama wanataka maandamano wachukue wake zao na watoto waona pia wake nao wachukue waume wao watangulie mbele waandamane na sio kukaa majumbani na kuangalia vijana wanavyopata vilema vya kudumu na wengine kuuawa wenyewe wakikaa kwenye TV kuangalia hali iendavyo tumewachoka.
waandishi wanapaswa kutupa habari. kama kupigwa wapigwe chagadema. this is nonsense
natamani tuzike baadhi kuanzia kesho jamani
Chadema itakutoa roho mwaka huu.....
Sidhani kama unafuatilia mambo yako kama unayoifuatilia chadema.
anzisha tena uzi mwingine.
Shame
Huwezi kubembeleza wajinga ambao wamejitoa ufahamu mimi nashauri polisi watumie risasi za moto kuwatawanya wakipiga risasi watu kama 20 hivi wengine akili zitarudi watakimbia kama sungura.
Mkuu na wewe umejitokeza kwenye maandamano?Nawakumbuke Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
labda ungelituchanganulia kenye nchi hii ni nani wanatumia hiyo kitu kwenye red/underline!kazi ya polisi wa ccm hawatumii akili
wanaoandamana hawana kazi. kwa hiyo wanaona kuliko wakae bure ni bora wakaandamane because they share 'a common enemy'
Polisi wana hamu sana ya kumwaga damu za raia,maandamano ni haki za raia wenye madai,sasa wanavunja shreia gani?Huu ukandamizaji wa haki za binadamu unapuuzwa mda huu,baadaye tutajuta