Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Mi nashindwa kuelewa mbona kila kitu CDM kwann?
Etiii mbona Silaha ba Zitto wapo kimya kwan wao ni kinanan?
 
CCM imekwisha kabisaaaaaaaaaaaa.Tuihukumu vizuri sana.hao askari ni vibaka na sheria itachukua mkondo wake.aliyewatuma naye atahukumiwa pia hapo baadae.Hakuna mtu anaifurahia hii.TUNATAKA VIVUTIO VYOTE VYA BWAGAMOYO VIPELEKWE MTWARA KAMA AFANYAVYO GESI KWENDA BAGAMOYO
 
hii ni fedhea serikali hebu wasikilizen wana mtwara acheni siasa
 
Mkuu is it confirmed mama mjamzito walimbaka kabla ya kumshut tomboni. I just can't imagine.
Mimi sio mume wa huyo mama lakini kwa heshima ya wamama wote, naahidi nitalupiza kisasi katika hili. Hata kama sio leo wala kesho but ipo siku...
 
Hilo bomba la afadhali lisijengwe .naona umechukia sana wewe fisadi ,kama ulikuwa na 10 percent sahau ,na mwisho wenu ni 2015 ,mkiiba kura tutaingia kwenye civil war ni afadhali tukose wote kuliko kufaidi wachache kwa kisingizio cha amani na utulivu

Kwan ni lazima niwe chadema???kwan jamii forum ni kwa ajili ya wanachadema tu?????kila mtu anaruhusu ya kutoa mawazo huwez kunilazimisha niwe chadema na kumpenda huyo Dr wako slaa
 
Kwan ni lazima niwe chadema???kwan jamii forum ni kwa ajili ya wanachadema tu?????kila mtu anaruhusu ya kutoa mawazo huwez kunilazimisha niwe chadema na kumpenda huyo Dr wako slaa

Mbona unajibu nje ya hoja? Umelewa gamba?
 
wakati mama yako anamimba pindi wewe ukiwa tumboni angefanyiwa aliyofanyiwa huyo mjamzito sidhan kama ungekuwepo?chukulia picha mama yako amebakwa kisha anapigwa risasi kisha mnakufa pamoja.
Kuwa na utu na sio kutetea upumbavu

Eti wanamsifu Jk kwa ushujaa huu!? Wa kubaka na kuua kwa risasi!!
 
Brain yako ina tatizo,nakupa GCS=8
Kwan ni lazima niwe chadema???kwan jamii forum ni kwa ajili ya wanachadema tu?????kila mtu anaruhusu ya kutoa mawazo huwez kunilazimisha niwe chadema na kumpenda huyo Dr wako slaa
 
Gesi imekuwa balaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
few examples of STUPID PEOPLE in groups
  1. Wanamtwara wanaodai wasichokijua,
  2. CHADEMA na wafuasi wake wote ukitoa zitto na mnyika
[/QUO
Hivi unajua maana ya ulichokiandika au umeona uandike kuonekana?
 
Lakini minaona kama wana mtwara wanataka gesi yao ibaki mtwara basi kila watu wabaki na walichonacho kwao

Mpaka sasa kila watu wanacho cha kwao....labda kama wewe ni mgeni hapa
Kilimanjaro mt....upo Kilimanjaro
Serengeti park....ipo Mara
GGM...............ipo Geita
Ziwa victoria.....lipo kanda ya ziwa n.k....
 
Back
Top Bottom