georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,892
violent revolution?.......we are almost there!"Those who make peaceful revolution impossible will make violent revolution inevitable". John F. Kennedy.

Rais wa Jamhuri mpaka sasa hajatangaza hali ya hatari.................. ametulia tu anabembea.
Mungu kweli Rais tunaye! Chezeya kikwete!
Jeshi halina magari yake? kama si deal la mtu basi ni janja yakufumba international community wasihoji yanayojiri. Na kama sivyo basi jeshi letu maskini....enzi za '78 wakati wa vita vya uganda.

Una elewa nini maana ya machafuko ?
Rais wa Jamhuri mpaka sasa hajatangaza hali ya hatari.................. ametulia tu anabembea.
Mungu kweli Rais tunaye! Chezeya kikwete!
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.
Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
kumbe mtwara kuna barabara nzuri hivi? huku kwetu chunya na sumbawanga hakuna kabisa na madini yanavunwa tu lakin tumekubali iwehiovyo ili taanzaniayote inufaike! kama vipi na sisi tulianzishe?
KAKA huenda walichimbwa mkwara kuonyesha na kutangaza hali ilivyokuwa, watu jana wamekodolea macho TV kusubiri yaliyojiri mtwara mwisho wa siku tulivyo viona na kusikia kwenye TV tofauti na tulivyokuwa tunahabarishana hapa JF
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.
Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
aiseeeeee.........very bad.
Mtoa mada muongo mwanachadema tu!
Hizi vurugu zinamuelekeo wa chadema na co akoli za wananchi peke yao! Na hili laweza kua kaburi jingine la chadema!