Team today AISHI MANULA ERASTO NYONI GADIEL MICHAEL DAVID MWANTIKA AGGREY MORIS MICHAEL BOLOU HIMID MAO SALUM ABUBAKAR JOHN BOCCO KIPRE TCHETCHE KHAMIS MCHA SUBS MWADINI ALI LUCKSON KAKOLAKI KELVIN FRIDAY MUDATHIR YAHYA BRAISON RAFAEL GAUDENCE MWAIKIMBA BRYAN UMONY
huyu refa huyu dk 4 za nyongeza..
ha ha ha ha ha! naona yanga ya manji imeanza kuonyesha fitina zake! huyo mohamed netto kapigwa pesa za manji!Mohamed Netto wa Mgambo JKT amepewa kadi nyekundu na kutolewa nje kwa sababu ya kitendo cha kumwonyesha mwamuzi wa mchezo nyeti zake (mbo.o) halafu kakutwa na kimzizi kinachodhaniwa ni hirizi.
Dakika 45' mgambo wako pungufu lakini bado wanaongoza 1 bila.
nipo mbali sana Mbeya ila nawatakia vijana wetu wa Mbeya City ushindi mnono sana leo
Huyo mwamuzi ni mwana mama?
King'amuzi cha Azam ovyo sana
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.
Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
Mkuu mbona unakuaga kama umelewa…hakuaje mwana mama wakati jina limetajwa hapo?