Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Ukisema AZAM una maanisha nini??
Leo tunachinja Azam live. Chezea mnyama wewe!
mgambo 1 - 0 yanga ni dk ya 3
naona yanga washakaa..
Mgambo 1-0 Yanga. Mende katikisa kabati.
Hawa mgambo nao wametokea wapi
Hawa mgambo mbona wanataka kututia nuksi
Tulia mkalishwe...
Mgambo 1-0 Yanga. Mende katikisa kabati.