Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Mgambo kamchapa kandambili goli tatu,zote za penalty...golikipa wa yanga dida ameshikwa tena kwa uchawi kama ilovokua kule misri...

Acha upu.mba.vu basi Kibonde? Hiyo mechi ni kesho bwana usitake kuchanganya watu hapa!
 
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.

Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
***UPDATES***
FT.MGAMBO 2_1 YANGA.

AZAM 2-1 MIKIA,
NA AZAM TUSHAKUWA MABINGWA TAYARI.
 
Nyasi zitawaka moto leo katika viwanja mbalimbali hapa nyumbani tabiri matokeo tafadhali kwa simba yanga azam mgambo nk
Yanga italala moja bila
Simba itadraw na Azam
Endelea......
 
Jiji la mbeya leo lina kila aina ya shamla shamla kushuhudia watani wa jadi wapya apa sokoine.

Mbeya city ikiwa katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu tanzania itamenyana na timu iliyo katika kiwango kizuri ya maafande wa magereza leo pale sokoine,.

Nini kitajiri tuungane pamoja mapema saa kumi.

Ht mcc1 prison0

FT MCC1-0 PRISON
 
Simba bingwa
 

Attachments

  • 1396163787597.jpg
    1396163787597.jpg
    3.7 KB · Views: 1,453
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.

Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
Mkuu Pamoja sana leo lazima mnyama apakatwe na ubingwa tunautangaza leo leo, chezea fedha weye.
 
Back
Top Bottom