mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Hao Mgambo watakaa tu.
Mkuu yule mtabiri wetu yu wapi atujuze kitakachojiri?
Hao Mgambo watakaa tu.
Naona simba hawana dalili ya kushinda
mkuu hawachelewi kukaza hao..wakatuharibia plan zetu za ubingwa.Hao Mgambo watakaa tu.
Rage amesha kabidhi ushindi
Rage amesha kabidhi ushindi kwa Azam
Apo tanga hali si shwari
Goooooooooooooo, mbeya city1 prison0, dk ya kwanza
Kulikoni tena Mkuu?
Mkuu kumbuka mpira unadunda
...mbona updates haziwekwi hapo juu ? au hamko uwanjani,sikilizeni hata redioni mtupe updates ya hizo tamthilia,wengine tupo mbali...