Mfungaji wa Mgambo anafanya nini hapa?
Yanga piga hao Mgambo.
Wewe ndo umelewa, jina lililotajwa ni la mchezaji na mimi nimeulizia jinsia ya mwamuzi.
Hakika kaseja.......katuuua
Mkuu hebu tufafanulie mazingira ya goli hilo
ungeanza na chomoa kwanza ndio piga ifuate..
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.
Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
Azam nao wakishuka hapo Sokoine lazima watulizwe.
Mkuu hebu tufafanulie mazingira ya goli hilo
1. Juma Kaseja -2911 ya Yanga ni ipi?
Hakika kaseja.......katuuua