Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Hongera Azam!!!simba na yanga endeleeni na kamati zenu za ufundi
 
Nilitamani sana hawa vijana wachukue ubingwa bora imekuwa hivyo,
Tumechoka na simba na yanga timu zisizo na maendeleo ujanja ujanja tu hata viwanja hazina club hata kituo cha radio hazina zote zinakaribia umri wa miaka 50 hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom