Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Yondani alimrudishia mpira kaseja....badala abutue akataka kupiga pasi ya kimo cha ng'ombe ili ule mpira umpite mshambulizi kichwani.....matokeo yake Mpira ukamgonga mshambulizi kichwani moja kwa moja wavuni.
Binafsi sikukubaliana na kaseja kurudi jangwani kwa mara ya pili...ktka game mistake kutokea ni kawaida, ngoja tuone vijana watakavyorudi kipindi cha pili.
 
gemu imeanza..

imeanza (start) au imerejea (resume)? kwani kipindi cha kwanza kimefutwa? wadau mlipo kwenye eneo la tukio tunaomba updates tafadhali.

Simba team, naomba muwaachie Azam wawafunge 5-0 ili yeboyebo wasichukue kombe msimu huu.
 
1. Juma Kaseja -29
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" -23
5. Kelvin Yondani -6
6. Frank Domayo -18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga -26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa 17
11. Emmanuel Okwi -25

Asante mkuu,ushindi upo,ni suala la muda tu.
 
Update:
67' Simba 1:2 Azam
66' Mgambo 1:1 Yanga
HT Mbeya city 1:0 Prisons.

Tunaendelea............!!!!!!
 
imeanza (start) au imerejea (resume)? kwani kipindi cha kwanza kimefutwa? wadau mlipo kwenye eneo la tukio tunaomba updates tafadhali.

Simba team, naomba muwaachie Azam wawafunge 5-0 ili yeboyebo wasichukue kombe msimu huu.
kipindi cha pili..
 
Back
Top Bottom