Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Update:
40' Azam 1:0 Simba
40' Mgambo 1:0 Yanga
10' Mbeya City 1:0 Prison.

Tuendelee............
 
Update:
40' Azam 1:0 Simba
40' Mgambo 1:0 Yanga
10' Mbeya City 1:0 Prison.

Tuendelee............

Mgambo safi sana…hakikishen hata mpira ukichezwa siku mbili bila mapuumzko goli halirudi
 
Mohamed Netto wa Mgambo JKT amepewa kadi nyekundu na kutolewa nje kwa sababu ya kitendo cha kumwonyesha mwamuzi wa mchezo nyeti zake (mbo.o) halafu kakutwa na kimzizi kinachodhaniwa ni hirizi.
Dakika 45' mgambo wako pungufu lakini bado wanaongoza 1 bila.
 
Huyo mwamuzi ni mwana mama?
 
.....hakuna ubishi, Simba inabidi imuachie Azam pointi zote 3 leo, matokeo ya 1-0 yanatosha kabisa sioni kwanini tung'ang'anie.
 
Simba 1 na Azam 1...Owinooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom