Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,170
- 829,119
Zote draw
Kasoro simba
Zote draw
Lao Mashabiki na wanazi wote wa kandambili "mutake musitake" lazima mumshangilie Mikia. Arafu sasa Dua zenu hazitafua dafu.
Kama hv mvua inanyesha mnyama anachnja mtu
Team today AISHI MANULA ERASTO NYONI GADIEL MICHAEL DAVID MWANTIKA AGGREY MORIS MICHAEL BOLOU HIMID MAO SALUM ABUBAKAR JOHN BOCCO KIPRE TCHETCHE KHAMIS MCHA SUBS MWADINI ALI LUCKSON KAKOLAKI KELVIN FRIDAY MUDATHIR YAHYA BRAISON RAFAEL GAUDENCE MWAIKIMBA BRYAN UMONY
Alfu lail wa lail hizo. Ngoja watoto wa mjini tutangaze ubingwa sie! Kwani ujinga tunataka?Kama hv mvua inanyesha mnyama anachnja mtu
Azam acha bhana!Yanga mtabaki nyuma mbele mwiko.
Utabakia na masufuria yako hivyo hivyo lakini sisi tunaandika historie mpya ktk soccer la bongo leo. Kwani ujinga tunataka!!Simba fungu mlilopokea pelekeni kwa familia ya marehemu.
100 kwa 100 ila uc2tie moyo maana nakujua we wa simba au nawe umeungana na wale mashabiki wa kweri walioihama simba?