ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
du! huko uswazi sana, sisi hapa timetulia, tunaambia game inaanza saa kumi na nusu.Mkuu dai kiingilio chako nasikia Vingunguti watu wanachapana makonde kudai kiingilio chao.
du! huko uswazi sana, sisi hapa timetulia, tunaambia game inaanza saa kumi na nusu.Mkuu dai kiingilio chako nasikia Vingunguti watu wanachapana makonde kudai kiingilio chao.
Saa tisa kamili za jioni.game ya yanga saa ngapi kwa saa za tz?
Kausha kwanza kijana!mmmh! hii ID ishaibiwa hakyanani, huyu si mandieta. Atakuwa shaffih dauda tu huyu!!!!
watu wanaruka ukuta vp wewe hujawaona
pw pw, unakarbishwa!
Labda kama leo ingekua tar 01.04 as a foolish day.masihara hayo mkuu...
Achana na habari za watu kuruka ukuta, ebu tupeleke uwanjani bhana! Au tayari Mnyama kesha pakuliwa.Nimewaona mkuu ila wamewathibiti
Mnyama kaleweshwa na ubwabwa wa kyela,leo uwanjani mnyama full kusinzia.