Leo Simba anapakatwa mara 2 kwa yai.
Nipo kwenye mstari wa kuingia uwanjani da watu ni wengi wengi wamepitiliza tiketi tumeuziwa elfu kumi badala ya elfu5
Hahahahahaha.Wakuu mbona leo sioni Live Updates kutoka kwa wadau kwenye majukwaa yote?!
Makoye Matale@Mandieta ACCOUNT FULL!ndomyanaKitoabu watu8
Mkuu Masuke umekua adimu kama jasho la nyoka,anyway mie nimesajiliwa Simba kwa mkopo kwa ajiri ya kutoa support hapa ndani leo,na hapa nilipo nimepiga uzi mwekundu wa mnyama.Leo Mbeya city hawataamini kinachoenda kuwatokea.
simba wanafanya vituko wanakatisha ktkt ya uwanja kwa mguu kuelekea vyumbani wakitokea lango kuu
tiketi zimeisha watu wanarukam ukuta
Sasa napitia vijiwe na matawi ya mbeya city watu wana hali wanaimba na kushangilia, nimetoka mafiat, sasa naenda sido
Ndio rage alivyowaambia hivyo.Simba wanaingia uwanjani kwa kuruka ukuta duuuu miaka ile ya 85 wananikumbushaa,cjui kama itawasaidia,alafu wamevaaa malapa