Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

kikosi cha Simba
1. Berko
2. Lucian
3. Henry joseph
4. Owino
5. Musoti
6. Mkude
7. Messi
8. Ndemla
9. Tambwe
10. Kiemba
11. Chanongo
SUB: ivo, humud, awadh, zahoro

Maskini Berko...wamepanga kumwangushia jumba bovu
 
Leo sina maneno mengi.....subirini kd 90 ili mtuachie jukwaa wana mbeya city tujadili ushindi wetu
 
Mbeya city ndiyo timu inayoongoza kupata mashabiki wa mkopo kwenye huu msimu.....hata mnakotokea cjui...ila karibuni
 
Acheni bas story za vibarazani,leteni updates...kipute bado?
 
kama vipi ni heri kombe liende Mbeya City kuliko Yanga
 
Mkuu Masuke umekua adimu kama jasho la nyoka,anyway mie nimesajiliwa Simba kwa mkopo kwa ajiri ya kutoa support hapa ndani leo,na hapa nilipo nimepiga uzi mwekundu wa mnyama.
Ila mechi ikiisha narudi jangwani.
Cc watu8 Makoye Matale WABHEJASANA ndetichia na wadau wengine wote wapenda kandanda.

Nipo mkuu, mechi ya mgambo ilinisononesha sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom