Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Nipo mkuu, mechi ya mgambo ilinisononesha sana.
Usijali jembe langu,mtoto halali na hela bhana,yake nepi na 'nnya'lazima MCC akae tu.
Mashabiki wote wa mnyama tokeni mlipo njooni hapa tukimbize.
Mkuu Masuke nimeshaomba ban ya maisha kama mnyama atapigwa leo.
Cc Moderator
 
Last edited by a moderator:

masihara hayo mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom