ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
game imeanza mkuu...Jamani nini kinaendelea huko Mbeya.......tumeshampiga MCC...??
game imeanza mkuu...Jamani nini kinaendelea huko Mbeya.......tumeshampiga MCC...??
Sikuelewi elewi Mkuu!! Unasema? Ni wewe kweli au binti yake?Labda kama leo ingekua tar 01.04 as a foolish day.
Serious leo nipo kwa mnyama mkali.
Dah! Asavali, maana kelele ziliku nyingi bila Updates zozote.Dak. 1 MCC 0-0 SSC
Vipi match si imekwishaanza au bado
Sijaenda na timu Sokoine mkuu, nasubiri matokeo na updates hapa JF.
Vipi match si imekwishaanza au bado
leta matokeo wewe
Ni mimi!Sikuelewi elewi Mkuu!! Unasema? Ni wewe kweli au binti yake?
Kausha kwanza kijana!
Hapa lazima MCC akae.