Hapa mbeya hali ya hewa ni nzuri ikiambata na kiubaridi.
Kiukweli mechi hii haina msisimko tofauti na ile ya mbeya city na yanga,.
Mji bado umepoa na simba wakiwa bado wamejificha kusikojulika hata apa sokoine uwanjani kupasha misuli hawapo..
Ila uwanja wa sokoine upo vizuri na bado unapambwa.
Nani ni nani itajulikana kesho
Umewahi sana ungeziona tu mda wao ukifika.....
Hata wewe haujakosea kuanzisha Kwani hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kuanzisha.Dah......basi samahani mkuu,
Unajua tumezoea sana kuona updates zikiingia humu ndani saa 12 asubuhi na hasa kama kuna mechi zile za simba na yanga,sasa saivi ni saa12?!
Uloi nga mâché68;8700287 said:Simba 0-2 Mbeya City. Matokeo ndio hayo
Wakuu mbona leo sioni Live Updates kutoka kwa wadau kwenye majukwaa yote?!
Makoye Matale Ndetchia ACCOUNT FULL!@Ndomanya Kitoabu watu8
Hata wewe haujakosea kuanzisha Kwani hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kuanzisha.
Mkuu mbona zipo mi nimeiweka hewani toka jana naweka matukio yote
mkuu ndomyana alikuwa anatumegea kila kinachoendelea tangia jana.Wakuu mbona leo sioni Live Updates kutoka kwa wadau kwenye majukwaa yote?! Makoye Matale Ndetchia ACCOUNT FULL!@Ndomanya Kitoabu watu8
Mkuu nimeiona baada ya kupost hii yangu lakini nimetafuta majukwaa yote sikuona thats why nimepost hii nikiuliza,ila sio mbaya niwaombe mods kama hakuna tatizo basi waiunganishe hii post yangu na yako ya jana ili twende sambamba!
Pamoja sna mkuu.Mkuu hamna shida ntaendelea tiketi yangu ya buku5 ipo mkononi toka sa3