Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Maana wale zambarau wana pumzi za kutosha
Hawa MCC mazoezi wanafanyia mlima nyoka
Maana wale zambarau wana pumzi za kutosha
Kaka unaionaje leo mbona uwanja mdogo watu wengi???
kuna mtu anatumia id, si bure.Leo chama langu 'MNYAMA'likipigwa basi ban ya maisha inanihusu. I'm serious!!lazima Mbeya city akae Cc Masuke ACCOUNT FULL
Leo chama langu 'MNYAMA'likipigwa basi ban ya maisha inanihusu.
I'm serious!!lazima Mbeya city akae
Cc Masuke ACCOUNT FULL
Aise,alafu utasikia mapato 11,972,341!!Mkuuu uwanja umetapika sijui nini kitatokea
Aise,alafu utasikia mapato 11,972,341!!Mkuuu uwanja umetapika sijui nini kitatokea
hahhaaahhaa...naona leo umesema kama anavyotakaga yeye.Mkuu nakutegemea kwenye jukwaa make mi naripoti toka apa mbeya sio jf
Usikonde mkuu.Mkuu nakutegemea kwenye jukwaa make mi naripoti toka apa mbeya sio jf
Aise,alafu utasikia mapato 11,972,341!!
Cc Jamali Malinzi