Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,175
- 111,115
Details unazionaje?
😀
Mzee unataka utafuniwe vyote...
Picha iliyopigwa na kamera ya simu huwa inakuwa na default name yenye kuonesha tarehe kamili YY/MM/DD HH:MM:SS
Details unazionaje?
kusema hivyo simaanishi kawamba achangiwe tenaMtumie nauli ya kurudi.
Ameshatoa namba.
hapa kuwa na umuhimu wa kuandika ulicho andika hasa mtu akiwa kwenye msiba....Kuna mtu alitabiri ukishafika huko msibani utaomba tena hela!
Ramani isome wapi mzee! Nina shida tele!hapa kuwa na umuhimu wa kuandika ulicho andika hasa mtu akiwa kwenye msiba....
Wewe kama upo kwenye comfort zone (hata kama ni kwa ndugu au wazazi wako) jua tu, huko nje kuna watu hawajasoma ramani....
Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi mno kwa jamii forum na watu wake mmeonesha kuwa ni jamii kweli kwa kuonesha kuguswa na matatizo ya watu wengine hata kama hamfahamiani japo wapo wengi wenye maneno ya karaha lakini wote ni jamii watu kama hawa hawakosagi
katika kitu nimejifunza watu wema bado wapo na wanazidi kutupa funzo ya kuwa wamoja hasa pale mtu anapopata matatizo
Huu si uzi rasmi wa shukrani zangu kwenu bali ni kuwapa updates ya kile kinacho endelea kwasababu niliko internet ni ya shida nitakuja na uzi rasmi siku nyingine.
Nilifanikiwa kusafiri na nilifika salama na kila kitu kilienda vizuri japo changamoto hazikosi msiba tushamaliza ila tumebaki ndugu kuangalia maisha yatakuwaje hasa kwa wadogo zetu na mambo mengine pia na mimi jinsi ya kurudi dar kutafuta japo tunachotafuta hakitoshi hata kutufuta jasho tunapopata matatizo kama mnavo jua msiba huenda na kila kitu kama kuna yeyote mwenye kutaka kutoa chochote no ni 0703644801 tigopesa
Mwisho niseme asanteni kwa kila kitu hapa nimeweka picha japo nilikuwa sitaki kuziweka ila ni kwa wale wenye mashaka wanao hisi labda kila mtu hupenda matatizo nimeweka picha tiketi niliyotumia kwenda pia na picha ya mazingira ya msiba
Nb: Mods naomba muunganishe.uzi huu na ule ili watu wapate updates 🙏🏻
To be Honest ndo najua leo maana ya hiyo kitu😀
Mzee unataka utafuniwe vyote...
Picha iliyopigwa na kamera ya simu huwa inakuwa na default name yenye kuonesha tarehe kamili YY/MM/DD HH:MM:SS
View attachment 3692228
ubarikiwe mkuu kwa ujumbe huu, ule uzi dhihaka zilikuwa za kuogofya, nakumbuka nilipofiwa na bi mkubwa kuna dogo nilishawai kumshika mkono alinitumia 300k tzs, sikumwambia hata nimefiwa ila aliambiwa na dogo mwingne, tusaidie watu kama tuna kauwezo ka kusaidia, mengne tuiachie nature itaamua.Wala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumu
Hiyo ticket ya AI ina makosa mengi.Sitaki kuongea mengi nimeshaonekana mwenye chuki na wivu..shortlyDavid Harvey babanguuuu
ubarikiwe mkuu kwa ujumbe huu, ule uzi dhihaka zilikuwa za kuogofya, nakumbuka nilipofiwa na bi mkubwa kuna dogo nilishawai kumshika mkono alinitumia 300k tzs, sikumwambia hata nimefiwa ila aliambiwa na dogo mwingne, tusaidie watu kama tuna kauwezo ka kusaidia, mengne tuiachie nature itaamua.Wala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumu
Mburaaaaaaaa ndrrrrrrooooo hivyo babanguuuuHiyo ticket ya AI ina makosa mengi.Sitaki kuongea mengi nimeshaonekana mwenye chuki na wivu..shortly
something smells fishy,amekaa wiki yote aki'compile ticket na picha ya kuokoteza.
Mwisho wa siku tunarudi palepale anataka tena achangiwe pesa ya matumizi akiwa uko pamoja na nauli ya kurudia.as if jamii forum ni baba yake mzazi.
Mtumieni tena nauli ya kurudia lastborn wa JF.
Mkuuu kama unataka kuthibitisha ticket njia rahisi ipo... hiyo tiket si ya busbora chukua PRN kajaze kule upate detail za tikeck mbona simpe sanaHiyo ticket ya AI ina makosa mengi.Sitaki kuongea mengi nimeshaonekana mwenye chuki na wivu..shortly
something smells fishy,amekaa wiki yote aki'compile ticket na picha ya kuokoteza.
Najua haupo bukoba ila tufanye upo bukoba msibani..
Mwisho wa siku tunarudi palepale anataka tena achangiwe pesa ya matumizi akiwa uko pamoja na nauli ya kurudia.as if jamii forum ni baba yake mzazi.
Mtumieni tena nauli ya kurudia ndugu yenu.
Pambana mdogo wangu,una familia ya watoto 4, hapo upo ugenini huna pesa,umeshajiuliza uko dar familia yako inaishi vipi?
Utaishi kwa donation mpaka lini?
Una kazi ya uhakika umpatie?Hiyo ticket ya AI ina makosa mengi.Sitaki kuongea mengi nimeshaonekana mwenye chuki na wivu..shortly
something smells fishy,amekaa wiki yote aki'compile ticket na picha ya kuokoteza.
Najua haupo bukoba ila tufanye upo bukoba msibani..
Mwisho wa siku tunarudi palepale anataka tena achangiwe pesa ya matumizi akiwa uko pamoja na nauli ya kurudia.as if jamii forum ni baba yake mzazi.
Mtumieni tena nauli ya kurudia ndugu yenu.
Pambana mdogo wangu,una familia ya watoto 4, hapo upo ugenini huna pesa,umeshajiuliza uko dar familia yako inaishi vipi?
Utaishi kwa donation mpaka lini?
NakaziaPole sana kwa msiba ila hii ni man to man talk acha tabia ya kuomba omba mtoto wa kiume ulioata nauli ya kufika huko inatosha pambana na ww sasa huko si home ... Mwanaume inatakiwa ujue kukaza na kupambana
kazi iliyopo ni ya mshahara wa laki 2 tu,wholesales duka la dawa kufungia dawa wateja tu.Una kazi ya uhakika umpatie?