matamshi yako yanaonesha unaishi kwa kujua ya leo tu n on boot leeking styleWaliofanya wamefanya kazi nzuri sana, nawasifu.
Hii sasa ni a "disclaimer".Wewe si ulisema arudie aone?Unamtisha mtu kwa nguvu za mtu mwingine?ulevi
Wa madaraka ndo adui yenu mkubwa.
Blah blah blah blah, nyingi. swali dogo tu, Atarudia?
Jee, Atarudia?
zomba huoni aibu kuisifia serikali iliyomshindwa mtu mmoja"ulimboka''?
Kwa hiyo system ilitumia kodi zetu kwa kupambana na ulimboka,shame!
System hiyo hiyo ilishindwa kugundua bendera zetu katika meli za iran!
Tena zaidi!!! Ameonja mauti na Mungu kamtema kupitia tundu dogo. Mungu hachezewi!! Dr. SU tuko mbele yako!! Do not worry.
Precision work, nna uhakika waliyoifanya hiyo kazi walikuwa ni ma surgeon wazuri sana! kwi kwi kwi teh teh teh! adabu kafundwa, ngoja tuone kurudi kwake kama atarudia au ame-taadab. Na wataomsikiliza wapo? kwi kwi kwi teh teh teh!
So what? Walikuwa surgeon wazuri mbona operationa abbot hiyo? Imekula kwao na bahati nzuri hata vipimo vya toxic damuni hakuna!!! Mlifikiri ummeshaua na hamkuweka ile kitu ya kumaliza!!! Mungu kamponya na atajilinda extra!!
Atarudia kitu gani?maana naona kama tunapishana hapa...Jee, Atarudia?
Hakutakiwa afe huyo, alikuwa anatiwa adabu tu. Precision surgeons kazi yao si kuuwa, kazi yao ni kutibu. Na wamefanikisha kwa kiasi kikubwa sana. Vipi, mgomo unaendelea?
eleza wewe iliyo too high ya kwenda ku negotiate mgomo bar? Kwi kwi kwi teh teh teh. Ingawa inauma lakini ndio ukweli, jamaa kachombezwa akaingia kichwa kichwa, vijana wakamshughulikia, sijui kama hawajamtia vidole vya macho, maana kichapo cha usiku kucha si mchezo.
Ukifatilia posts zangu za jf nilililsema hilo humuhumu jf kabla hajala kichapo. Nilisema huyo dawa yake akamatwe atandikwe ndio atajuwa wagonjwa wanaumwa vipi. Naam, utafikiri nilikuwa natabiri, haijapita siku mbili, jamaa kachezea kichapo cha maana.
Atarudia?
usiogope auaye mwili! Ogopa auaye roho! Mwili hufa roho haifi!
Niko nafuatilia ujio wa mkombozi!
Mgomo mbona bado upo? Tatizo lako hutubiwi Tanzania!! Sisi tunaopata huduma Muhimbili tunajua mgomo bado upo na utaendelea kuwepo hadi serikali yako itakaposikiliza na kufanyia kazi madai yao. Kiranja amerudi na yuko fiti. Na hatakaa afe, he remains our hero na watanzania wote wanaoishi chini ya dola 1.25 per day ambao ni 67.9% of the total population of over 44 million tunajua hilo. Wewe unayeishi kwa more than 250 USD per day hujui shida ndiyoa maana unaongea utani. Tuko serious na tunawakilisha maskini hapa mtandaoni wewe unawakilisha waliokutuma kuja kufanya counter ya michango yetu. You are never realistic!!! Umeshiba na kusazia wale mbwa wenu, sorry kumbe mbwa wenu hawali makombo, wananuliwa dogs stuff with suplements!!!
Atarudia kitu gani?maana naona kama tunapishana hapa...
Kiwembe ndo usalama ama ni serikali?Kuchezea kiwembe.
hizi unazoonyesha hapa ni frustrations tu...ungepata furaha ya kweli kama ulimboka angeaga dunia...Kuchezea kiwembe.
wagonjwa huteseka na kufa kwa ukosefu wa dawa.usitoe hoja zenye viraka!Na wagonjwa huteseka wakiwa hai kungoja madaktari waliogoma, kumbuka na hilo. Na wale wanaroho na wana miili inayohitaji huruma na kutazamwa zaidi ya hao madaktari wanaoshinikiza wenzao waache kuwatibu wagonjwa waingie mitaani.
Jee, Atarudia?