Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 634
- 340
Kwa nilivyochoka leo hata siogi nalala hivyo hivyo na vumbi langu kesho ndo ntafanya mchakato wa kupiga maji.
Mkuu naona unajitahidi kupambania chama lako. hongera kwa kutekeleza wajibu wako
Mbona mwaka 2005 ngoma ililia sana na haikupasuka?
@Wacha fujo wewe umelogwa nini?
Namsubiri Humphrey Harakaharaka aliyesema atatembea nchi nzima kuzuia mafuriko kwa mdomo.
lowasa azidi kuhonga vijana
weng wagundulika n wahuni na wamerehewa viroba - uhuru
Lowasa kitu kimoja hajui kuongea.jamaa maneno simple tu anaongea kwa kukoseakosea huku akitetememesha mdomo
Huo ndo ukweli, wote walio hama ni baada ya kushindwa kura za maoni mjimboni mwao akiwemo fisadi papa.
Afadhali manake huyu jamaa leo sijui kanywa maji ya nini amejaa matusi hadi kidoleni. Nilidhani Mods wapo likizo kumbe wapoUna ukimwi unajipa moyo utapona..?
Magufuli unasema msafiii....? Wee Warthog kweli...!!!! 
Mapepo ya CCM yanatolewaaaaaa leooo...🐛...🐍🐍🐙🐙👿👿👿
Tokaaaa pepooo la CCM, tokaaa ktk jina la Lowassaaaaa tokaaaaaaa tokaaaaa 👿👿👿🐙🐙🐛🐛🐍🐍CCM...waache wana wa Mungu...waache tembo wetu tokaaa..🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘
Pepo tokaaaa ktk jina la UKAWA....pepo CCM tokaaaaaaa....tokaaaaaaaaa🐙🐙🐙🐛🐛🐍🐍
Pepo CCM ktk jina la Lowassa tokaaaaaaa...pepo la kijaniiiii 🐙🐙🐙🐛🐛🐍🐍tokaaaaaaa....
Ktk jina la Lowassa pepo CCM tokaaaaaaaa.... waache watanzania...waache watu wa Mungu...shindwa...🐙🐙🐙🐙🐙🐍🐍🐍🐍🐍🐍
Kuna watu bado kama 5% wana pepo la CCM limewakamata kweli...ila Lowassa akiwafikia litawatoka...!!!
Wameisoma namba au Bado?
cc:Lumumbani
Huu uzi lazima utafika page 90 kuendele na comments zitakuwa si chini ya .1500
hivi mbona hawajiungi nccr au cuf???? kuna siri nini hapo