Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
970
Likes
539
Points
180

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
970 539 180
Jana kule Arusha umati wa wanachi ulishuhudia mtu ambaye alitajwa kuwa swahiba mkubwa wa 'first family'' naye akitoroka. Ni LM aliyewahi kuwa waziri katika serekali ya JK, ambaye katika uchaguzi uliopita alipoteza ubunge wa jimbo la Nyamagana. Lakini wadadisi wa mambo wanajiuliza.............ni kwanini hakutangaza uamuzi wake huo akiwa Jijini Mwanza. Ilibaki siku moja tu kufanyika mkutano wa Mwanza. Mwanza ndiyo nyumbani kwa Masha, pia ndiko kwenye ngome yake ya kisiasa. Sababu ni nini!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,203,563
Members 456,824
Posts 28,118,884