Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Arusha ilikuwa njema sana, sasa hata nikigonga kiroba inashuka kiulainiiii
 
Kwa hiyo CCM imewanyang'anya CHADEMA ajenda ya ufisadi na kwamba hao waliotoka wameondoka na ufisadi na kuuhamishia huko walikokwenda?
Huo ndo ukweli, wote walio hama ni baada ya kushindwa kura za maoni mjimboni mwao akiwemo fisadi papa.
 
Safi sana ma R CHUGA mikoani tunafuata nyayo zenu mkutuangushia kwenye shimo Poa...tutakufa wote
 
Time will tell.....


MUGABE1.jpg


zimbabwe-elections_2630378b.jpg




images



20_zimbabwe-main-(Read-Only.jpg

Baba wa Taifa la Zimbabwe ambaye namfananisha na Mwl.J.K.Nyerere kwa Tanzania.Wazimbabwe wanampenda sana Mugabe maana analinda ardhi na Maliasili yao isiporwe na wazungu.Tanzania UKAWA itasaidia sana kulinda Maliasili yetu isimalizwe na Wachina.Tusitokeze kwa wingi kupiga Kura na kuzilinda.
 
Narudia topic yangu ya siku zilizopita. Kikwete kama anahitaji heshima wakati wa kustaafu ni vema akaamua kukaa kimya kipindi chote hiki cha kampeni hadi uchaguzi. Haya ni baadhi ya matunda yake tuliyo kuwa tuna yapigia kelele tokea 2010. Kikwete ametufanya watanzania watumwa wake na kutumia jina la utanzania wetu kwa manufaa ya familia na jamaa zake. Uchaguzi wa mwaka huu 2015 CCM haiwezi kushinda hata kwa wizi wa kura. CCM HAISHINDI KWA UWEZO WA MUNGU.
 
Mnayo maneno mengiiii subirini kipenga kipulizwe ndio mtaijua CCM ni moto wa kuetea mbali.
 
Right, I mean that is a very poignant question they have to answer, manake standard iliyowekwa na chama ni kwamba shutuma zilizozagaa zinazokuandama za ufisadi zinatosha kukukata. That was the linchpin of the process for killing Lowassa's candidacy. Okay, sawa, punguani ndio atabisha Lowassa ana shutuma.

Chenge na Tibaijuka na Ngeleja watakatwa? Kwa sababu hakuna mtu mwenye tuhuma nzito nchi hii kama Chenge na Tibaijuka. Lowassa amebisha hakuiba, na hatukumkamata na virumbesa vya pesa. Chenge na Tibaijuka wamekiri wenyewe kwamba hela za Escrow, Radar, n.k. wamekula, wamesema wamenunulia mboga, wamesema hawajali kwa sababu kwao hizi pesa za kitanzania hizi ni vijisenti, wamesema wao wenyewe! Tuhuma nzito. Watakatwa? JK, Nape, Kinana, jibuni!

Ccm na ufisadi uliotukuka unakimbiwa lakini unajichimbia na kuficha uso kama mbuni. Come up anza angalau hata kunawa.
 
watu wengi kama ulezi.
Lowasa ashinde tu mana tusije ingia machafukoni.
Na akikosa urais.sijui mtaweka wapi sura zenu?
 
Hawa ni baadhi ya makada wa CCM waliohamia CHADEMA.
1.Ole medeye-aliwahi kuwa waziri wa Ardhi
2.Hamis Mgeja-alikuwa m/kiti CCM shinyanga
3.John Gugunita-alikuwa m/kiti CCM mkoa Dar
4.Lawrence Masha-aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani
5.Ole Nangoro-alikuwa m/kiti CCM
6.Mgana Msindai-alikuwa m/kiti Singida
7.Makongoro Mahanga-alikuwa naibu waziri
8.Sioi Sumari-aliwahi kuwa mgombea Ubunge
9.Daniel porokwa-alikuwa katibu CCM manyara.
10.Robinson-alikuwa m/kiti UVCCM Arusha.
Ongezea wengine
 
Back
Top Bottom