Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

I am Wacha1, you don't know? Ati CCM imechokwa kwani jina ndio tatizo. Huyu Mwizi wa mchana kweupe katoka CCM miaka yote amekuwa mwizi mkubwa kwenye mashirika ya umma na sasa ndio aliweza kujiingiza kwenye shirika la simu na kudhoofisha TTCL leo ndio mnamuona kama mfalme wenu pathetic, what type of people are you. You act like docile donkey.

Mind ur language u fool.
Ur mouth is bigger than ur brain! Its bushit if we don't agree the situation and chase the shadows!
Do u expect wapinzani wanashushwa na malaika Gabliel? Mbona hujaelezea waliobaki wamefanya nini na wanafanya nini?
 
Last edited by a moderator:
mkuu mabomu yamepigwa sehemu gani? mbona naona taarifa ya mabomu kupigwa lakini sioni yamepigwa wapi?

Mkuu tumepigwa mabomu maeneo ya nduruma na tukazuiliwa kwenda kwenye mkutano(hususan bodaboda wote) roho imeniuma sana tumetoka KIA salama lakini wametufanyia unyama karibu na eneo la mkutano.
tutakutana oktoba.
 
Hakuna lolote huyo jambazi hawezi kuwa rais. You will come and tell me, I am old enough to know that EL will never govern this country whether you like it or not.

Old my foot the road is very unpredictable now! People need changes! i know u hv a lot to guarantee but msidharau! Na vichwa vinawagonga saaana! Najua umeongea kwa confidence kisa una mzee ccm au rafiki TISS but this time ni nguvu ya umma! Kwani mnadhan Kenya na Zambia ilikuwaje?
 
Msikurupuke!!!!! mbona hamkumshitaki kwa uizi wowote ambao mmeuongea? au kwakuwa amekaa kimya tu? unaweza kutoa ushahidi wa maelezo yako? linda kinywa chako brother ni hatari ww ni mchonganishi.
 
Wakuu heshima kwenu,

Kwanza nianze kutoa pole kwa wanaofurahia mafuriko ambao umekuwa msemo wa ukawa.
Binafsi ukawa na mafuriko ni watu wanafiki wanaokumbatia ufisadi, kuwafanya wananchi watoto wadogo
walizunguka nchi nzima wakipinga ufisadi na baadae sasa hivi wanazunguka kuutakasa huo huo ufisadi na
watu ni wale wale hii ni aibu kubwa.
Nawapongeza Dr. Slaa, Prof. Lipuma na wengine wengi amambao hamjajitangaza lakini mtaonesha msimamo
wenu kuukataa unafiki huu uliofanywa na wababe wachache ndani ya UKAWA kwenye uchaguzi tar 25 oct.
Hakika hii ndiyo itakuwa GHARIKA kubwa ambayo itawakumba wengi nakuacha huzuni kubwa kwa waliokuwa
na matumaini ya kuingia ikulu ili wakaendeleze dili zao binafsi huku wengine wakiomba msaada na kubisha hodi
mlango wa CCM ili waingie tena na kukuta umefungwa kwa KUFULI kubwa na waliomo ndani watasema
hatukufunga sisi mwambieni RAIS J.P. MAGUFULI ndo mwenye uwezo wa kufungua.

MAFISADI, WALARUSHWA NA WAZEMBE JISAFISHENI GHARIKA YAJA ITAWAKUMBA WOTE OCT,25 2015

MAGUFULI NDIYE GARIKA AJAYE.


Everything has a limit!
 
Mimi naona wangemuapisha tu aingie Ikulu tusubiri uchaguzi wa wabunge.

EL hana mpinzani wa kweli
 
Back
Top Bottom