Aibu zake zimemponza.Asa si unajua shy tenah,yeye anajua watu wanajua wao wana hela akisema hana si aibu
Kwa ni mie ndio nimeleta hiyo story?Ok,taja cheo chake kijeshi
[HASHTAG]#AKIPONAUTUJULISHEPIAAA[/HASHTAG]Wandugu habari,
Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.
Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.
Source:ebony
MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Itakua kakusudia Lt conl.Mkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa
Hujakosea kabisa mkuu.Mimi nlichogundua wanaoharibu hizi sifa iwe jwtz au polisi ni hawa askari wa ngazi za chini,hawa ndio huvunja sheria kuchwa ila maafsa wala?
Hakuna kitu kama icho,Sasa ivi kila kitu kipo hadharani katika kila sektaumeniwahi, nilitaka kusema hivyo 'watawafinya' kimya kimya bila kuacha kovu. 😀
Wangelipiza kisasi RAIA, ndo siku hio hio wangefukuzwa Kazi wote,hashindwi kufukuza wote.Wandugu habari,
Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.
Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.
Source:ebony
MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Hua utakuwa ushamba sana kiongozi,iyo jezi ni ya kawaida sana kama wakumbuka Cdf Mabeyo amewapiga marufuku mwanajeshi kuvaa gwanda kisha akaendesha gari binafsi kwani walikuwa wanawasumbua sana matrafiki barabarani sasa umejionea sasaivi wote heshima,Sasa ngoja waende wakafanye izo fujo kwa boda boda kisha uone kitakachowatokea hapo kambini kwaoTunasubiri apone then tunamsaka boda one by one tuwasage kama mahindi ili next muda wawe na adabu na jezi yetu. ova
Hahahaha nacheka kwa dharau,.. Unafikiri hakuna maasifa walio na ubabe?Hujakosea kabisa mkuu.