Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Labda alitaka kusema Luteni Kanali. Hajui tofauti kubwa iliyopo katika vyeo hivyo viwili.
Msamehe bure ndio elimu yetu hiyo mnayojisifia ccm kuwa ya bure, kumbe bure kweli
Wewe usjitie mjuaji kunizidi kima wewe.mkuu wa kambi ni C.O lakini luteni alikwenda kumuwakilisha mkuu
 
Hapo kesi haijaisha naona
Tulijua watapata kichapo nao
Lakini nafikiri sasa itaenda kisheria zaidi na wahusika wasifurahie sana kwani nao watakamatwa na kwenda kujibu kwanini walichukua sheria mkononi

Nasubiri mrejesho wa episode 3
Haha usijali mkuu
 
safi sana afande.
Katumia akili na busara.
Kuna baadhi ya askari Wanajiona wababe na watemi.
HAO NDO WANASABABISHA WANANCHI TUWACHUKIE ASKARI.
Kuna mmoja anakaa mbweni kule jeshini.
Alimchukua boda boda.akampeleka mpaka kule.akamwambia nisubiri nakuja.
akaingia ndani.
bodaboda alisubiri mpaka akaona kizunguzungu. Hajatoka kumpa hela yake.akaondoka kinyoonge
Boda boda tupo kwenye operesheni tokomeza uonevu.tumeanza na huyu(am joking)
 
Bodaboda kwa sasa ni jeshi kubwa sana na la kuogopwa na inatakiwa liangaliwe kwa jicho la tatu kwa jinsi wanavyo jichukulia sharia mkononi,mgonge bodaboda hata kama kosa lake utakiona cha moto,na mpaka wajeda wananywe hii sasa hatari.
Mpaka wanajeshi wanawaogopa siku hizi hawa boda ni jeshi binafsi
 
Wandugu habari,

Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.

Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.

Source:ebony

MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Hao jamaa hawatabiriki utaniambia,juzi juzi mbona walitembeza kichapo huko Gongolamboto,ukonga,banana tena utawala huu?
 
Nachokiona hapa bodaboda hawatakubali kumpakia mjeda kwenda kambini kwa sababu ya kuhofia usalama wao, wajeda watapata tabu sana ya usafiri
Na ndio mwanzo wa uadui wa wajeda na bodaboda
 
vipi waliishawahi kukukuchukulia mke? au umekaririshwa kuwa huwa wanajiona? kwa ufahamu wangu hakuna watu wastaarabu na tunaoshirikiana nao mtaani km wajenda, lkn sio kisa mnashikiriana uanze kuonesha dharau hapo utaona kweli wanajiona.
Hamna lolote zaidi ya sifa na uonevu.kwan police huwa hatushirikian nao?
 
Kwa akili yako ya mende unadhani yameisha? Na ni kweli alidhurumu MANA nyie hamueleweki, na mamlaka ya kupiga hao bodaboda walitoa wapi? Je nao wakipigwa watalalama?
Mkuu ndio keshayamaliza hivyo
 
That is solving complicated matters with soft face!!!

Show your enemy smiling face, but strike him hard with soft fatal hit!!
Ndo msirudie siku nyingine asa.shukuruni police
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom