Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Jana nimeshudia jamaa anakula kipigo kutoka kwa muendesha bodaboda kisa kagoma kutoa Tsh. 2000/= nimecheka sana jamaa kala kipigo na 2000/= katoa...... Jamani maisha magumu kwa kila mtu.... fikiria mtu anakesha usiku na mchana walau apate hicho kidogo..... Hadi awamu hii ikaishe tutashuhudia mengi....
 
Kukosekana jf sku mbili tu kumbe kuna mjeda kapewa kichapo? Ngoja nikae week pengne Nabii nae atapewa kichapo na madereva wa uber.
Bado Kuna nabii mbishi wa kulipa nauli.....mie nae mfahamu alisha fariki kwa ajali ya gari.....
 
Ana ID nyingine akasahau ku log off kwa hii hivyo alipojijibu kuwa ni first to reply hakujua kuwa anatumia ID ile ya kwanza.ni kawaida sana humu JF mtu anatumia ID Hii anakuja kujiunga mkono kwa ID nyingine...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtendwa hajapona subirini hiyo ni kuwapofusha macho Ili kichapo kikitembezwa msiweze ku link na tukio mlilofanya
 
Jana nimeshudia jamaa anakula kipigo kutoka kwa muendesha bodaboda kisa kagoma kutoa Tsh. 2000/= nimecheka sana jamaa kala kipigo na 2000/= katoa...... Jamani maisha magumu kwa kila mtu.... fikiria mtu anakesha usiku na mchana walau apate hicho kidogo..... Hadi awamu hii ikaishe tutashuhudia mengi....
Hali ngumu kwa wote mkuu
 
Ana ID nyingine akasahau ku log off kwa hii hivyo alipojijibu kuwa ni first to reply hakujua kuwa anatumia ID ile ya kwanza.ni kawaida sana humu JF mtu anatumia ID Hii anakuja kujiunga mkono kwa ID nyingine...
Hhhhhh
 
umeunga mkono mwanajeshi kipigwa?, au umeunga mkono waliojichukulia sheria mkononi kutowajibishwa? au umeunga mkono luteni kusuluhisha hilo jambo bila kuleta vurugu baadae? au unaunga mkono polisi kutoingilia kivipi? inaelekea nyie polisi wa huko mna hasira sana na wajeda wa huko kwenu. Nakushauri tena ondoa chuki mdumishe ulinzi na usalama wa nchi na raia, kwa vyovyote hata mbingu ishuke polisi hawezi kuwa sawa na mwanajeshi, na ni Tanzania pekee polisi kuitwa jeshi ila kwa nchi zingine polisi ni idara ya usalama tu na sio jeshi.
Acha kudanganya umma nchi kama Singapore,uganda,Nigeria,Indonesia na Guyambi polisi inaitwa force,nazipo nchi nyingi wanaita ivyoo just Google it.

Over!!
 
Huyo Kamanda Wa Jeshi Hakutaka Makubwa, Vinginevyo Bodaboda Wangeipata Fresh Maana Wanajifanya Wajanja Sana Kwa Kuchangia Mtu. Bodaboda Ni Wa Kuangalia Sana Kwa Jicho La Tatu Maana Ni Kikundi Sensitive Sana Kutekeleza Uhalifu Na Kujichukulia Sheria Mkononi
Sasa huwezi piga raia wa nchi yako kama hajaingia kambini huyo sio adui yako. Hizo ni codé za kijeshi kama yeye angepeleka kisosi na yeye kazi angefukuzwa maana jeshini kunasheria sio kama uraiani kupendeleana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom