Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

Kuna operation fulani 2013 Oljoro ya TPDF ambayo ilichukua wengi ma koplo wakujitolea toka JKT, hawa vijana waliiva sana maana walikuwa wamepata kozi mbili za kijeshi kabla hawajaajiriwa kisha kupata ya 3 iliyowaunganisha kwenye ajira JWTZ.
Wakati wamekwishamaliza kozi wanasubiria kupangiwa vikosi mmoja akaharibu kwakugombana na police , polisi wakampeleka kituoni kwao wakampiga na kisha kumwacha mahututi, akafa.
Musila ambaye ndiye alikuwa mkuu wa mafunzo wa intake ile akakasirika akawaambia wakaharibu.
Vijana wakaenda kuvamia kituo cha police wakaharibu. Yule kamanda Musila akapewa demotion.
Yale mambo ya kujivunia kombati za kijeshi yalishapita na sasa kila mmoja anatetea tonge lake.
Kama mimi siwezi kujiingiza kwenye matatizo eti kiss mpumbavu mmoja mwenzetu kashindwa kulipa 1500 kisa yuko karibu na geti kuu.
Mwanajeshi mbabe wake ni polisi,polisi hapendi ujinga wa hao jamaa wa std 7.

Over!!
 
Hamna lolote zaidi ya sifa na uonevu.kwan police huwa hatushirikian nao?
basi wewe utakua ni polisi, nakushauri tu uondoe chuki kwa hao jamaa haitakusaidia chochote, nafikiri km unashirikiana na polisi km unavyodai basi hujachelewa kushirikiana na hao wajeda.
 
Hua utakuwa ushamba sana kiongozi,iyo jezi ni ya kawaida sana kama wakumbuka Cdf Mabeyo amewapiga marufuku mwanajeshi kuvaa gwanda kisha akaendesha gari binafsi kwani walikuwa wanawasumbua sana matrafiki barabarani sasa umejionea sasaivi wote heshima,Sasa ngoja waende wakafanye izo fujo kwa boda boda kisha uone kitakachowatokea hapo kambini kwao
lazima muwe na adabu huwezi piga askari kisa 1500 we will deal with u effectivelly unadhani trafq sie eboo lazim iwe fundisho kwa wajinga wote wa Mafinga
 
Hao jamaa hawachelewi kuharibu sharehe bodaboda mkae nao kwa akili amelihifadhi hilo.Kuhusu kiongozi wa jeshi heshima kwako hivi ndivyo inavyopaswa kuwa.
 
S
lazima muwe na adabu huwezi piga askari kisa 1500 we will deal with u effectivelly unadhani trafq sie eboo lazim iwe fundisho kwa wajinga wote wa Mafinga
Sasa wewe hapo uoni kama huo ni ujinga,Angelipa iyo hela yote yasingetokea,Sasa mkumbuke hii ni awamu nyingine kuna vijana wa jkt wapo tu kitaani hawana kazi wengine wapo makambini sasa jichanganyeni siku muende mkafanye fujo kisha msako uje kikosini uone kitakachotokea,Cdf mabeyo apendi mambo ya kipumbavu kama hayo,Kajaribu kijana uone maana Private mnakulaga bure na shibe ndo inawafanya mjione mmeyapatia maisha,kumbuka hampo juu ya sheria
 
Hahahaha nacheka kwa dharau,.. Unafikiri hakuna maasifa walio na ubabe?
Kipindi nipo JKT nilikua namuona Afisa anaenda kijijini kuchukua vitu vya watu dukani halafu halipi.
Raia wakawa wanamuogopa, kwa sikio langu nilimsikia mwenye duka akisema yule afande kaja kuchukua redio hapa hajalipa naogopa hata kumfata maana ni m-babe. Mpaka mkuu wake akamuombea kurudi makao makuu ya kambi maana alikua na kashfa nyingi na pia walikua det.
Mmoja ndio umegeneralize 🙁🙁🙁
 
La maana kwamba wakuu wao walipita JF na kuubalizi uzi uliopita na hata huu wataupia....
Onyo tuu
Hii awamu ni awamu ya Tano au Gwala...
 
Kuna operation fulani 2013 Oljoro ya TPDF ambayo ilichukua wengi ma koplo wakujitolea toka JKT, hawa vijana waliiva sana maana walikuwa wamepata kozi mbili za kijeshi kabla hawajaajiriwa kisha kupata ya 3 iliyowaunganisha kwenye ajira JWTZ.
Wakati wamekwishamaliza kozi wanasubiria kupangiwa vikosi mmoja akaharibu kwakugombana na police , polisi wakampeleka kituoni kwao wakampiga na kisha kumwacha mahututi, akafa.
Musila ambaye ndiye alikuwa mkuu wa mafunzo wa intake ile akakasirika akawaambia wakaharibu.
Vijana wakaenda kuvamia kituo cha police wakaharibu. Yule kamanda Musila akapewa demotion.
Yale mambo ya kujivunia kombati za kijeshi yalishapita na sasa kila mmoja anatetea tonge lake.
Kama mimi siwezi kujiingiza kwenye matatizo eti kiss mpumbavu mmoja mwenzetu kashindwa kulipa 1500 kisa yuko karibu na geti kuu.
Hahaa mkuu hao ni walinz wa nchi.muwaheshimu
 
Tunasubiri apone then tunamsaka boda one by one tuwasage kama mahindi ili next muda wawe na adabu na jezi yetu. ova
Sijawahi kumuogopa mwanajeshi au polisi maishani mwangu.na ndivo nlivyo
 
Hua utakuwa ushamba sana kiongozi,iyo jezi ni ya kawaida sana kama wakumbuka Cdf Mabeyo amewapiga marufuku mwanajeshi kuvaa gwanda kisha akaendesha gari binafsi kwani walikuwa wanawasumbua sana matrafiki barabarani sasa umejionea sasaivi wote heshima,Sasa ngoja waende wakafanye izo fujo kwa boda boda kisha uone kitakachowatokea hapo kambini kwao
Hahahaa
 
Wandugu habari,

Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.

Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.

Source:ebony

MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Hata mimi nilikuwa nahofia sana wanajeshi kulipiza kisasi, kwani imekuwa kama kawaida kwao kwamba ikiwa mwanajeshikakosea au kapatia, raia hatakiwi kumpiga mwanajeshi na ikitokea hivyo, kisasi ni haki yao, hata kama ni kwakuonesha tu kwamba askari wako juu ya wananchi.

Nikama sheria za watu wanaosema "Simba akishakula nyama ya mtu ni lazima auawe, hata kama mtu kaingia mbuga ya Simba na kujipelekaaliwe mwenyewe".

Nashukuru sana kusikia kuna Luteni aliyekomaa, si tu kafedheheshwa na ukosefu wa nidhamu wa mwanajeshi, bali pia kajishusha mpaka kwenda Polisi.

Imekuwa kawaida kwa wanajeshi wa Tanzania kujiweka juu ya Polisi.

Kamanda huyu ananipa matumaini kwamba kuna nidhamu jeshini. Hata baada ya mwanajeshi kufanya kitendo cha ukosefu wa nidhamu.
 
Hahahaha nacheka kwa dharau,.. Unafikiri hakuna maasifa walio na ubabe?
Kipindi nipo JKT nilikua namuona Afisa anaenda kijijini kuchukua vitu vya watu dukani halafu halipi.
Raia wakawa wanamuogopa, kwa sikio langu nilimsikia mwenye duka akisema yule afande kaja kuchukua redio hapa hajalipa naogopa hata kumfata maana ni m-babe. Mpaka mkuu wake akamuombea kurudi makao makuu ya kambi maana alikua na kashfa nyingi na pia walikua det.
Aje ajaribu kufanya hivyo dukan kwangu.namchana gwanda hadharani.OVA
 
Hakuna kiongozi wowote wa kambi ya jeshi atakae kubali Askari wake achezee kichapo kutoka kwa RAIA...

Hii habari either ni chai
 
Mwanajeshi mbabe wake ni polisi,polisi hapendi ujinga wa hao jamaa wa std 7.

Over!!
Wanajeshi wengi dawa yao polisi..tena hususani hawa FFU ndo huwa wanatuliza ujinga wa wote hawo jwtz,juzkat mbeya kuna wanajeshi walikuwa wanamdhalilisha dogo mmoja ambaye kakaake ni ffu kisa kuvaa tshirt inafanana na ya jesh,simu ilipigwa vijana wa ffu kuja tuu walitembeza mkong'oto na wale wajeda walikimbia kwa miguu na kutokomea kwenye makaz ya watu
 
basi wewe utakua ni polisi, nakushauri tu uondoe chuki kwa hao jamaa haitakusaidia chochote, nafikiri km unashirikiana na polisi km unavyodai basi hujachelewa kushirikiana na hao wajeda.
Siwapendi sana hawo jamaa,tukio hili nimeliunga100% na nimependa polisi kutoingilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom