Update ya askari wa JWTZ aliyeshushiwa kipigo

S

Sasa wewe hapo uoni kama huo ni ujinga,Angelipa iyo hela yote yasingetokea,Sasa mkumbuke hii ni awamu nyingine kuna vijana wa jkt wapo tu kitaani hawana kazi wengine wapo makambini sasa jichanganyeni siku muende mkafanye fujo kisha msako uje kikosini uone kitakachotokea,Cdf mabeyo apendi mambo ya kipumbavu kama hayo,Kajaribu kijana uone maana Private mnakulaga bure na shibe ndo inawafanya mjione mmeyapatia maisha,kumbuka hampo juu ya sheria
Wazi afande
 
Wandugu habari,

Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.

Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.

Source:ebony

MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha

Mimi sijawahi kuona mkuu wa Kambi ni Luteni.
 
Hata mimi nilikuwa nahofia sana wanajeshi kulipiza kisasi, kwani imekuwa kama kawaida kwao kwamba ikiwa mwanajeshikakosea au kapatia, raia hatakiwi kumpiga mwanajeshi na ikitokea hivyo, kisasi ni haki yao, hata kama ni kwakuonesha tu kwamba askari wako juu ya wananchi.

Nikama sheria za watu wanaosema "Simba akishakula nyama ya mtu ni lazima auawe, hata kama mtu kaingia mbuga ya Simba na kujipelekaaliwe mwenyewe".

Nashukuru sana kusikia kuna Luteni aliyekomaa, si tu kafedheheshwa na ukosefu wa nidhamu wa mwanajeshi, bali pia kajishusha mpaka kwenda Polisi.

Imekuwa kawaida kwa wanajeshi wa Tanzania kujiweka juu ya Polisi.

Kamanda huyu ananipa matumaini kwamba kuna nidhamu jeshini. Hata baada ya mwanajeshi kufanya kitendo cha ukosefu wa nidhamu.
Umenena sana mkuu kiukweli umetoa ya moyoni,kumbe hawa jamaa kujifanya wapo juu ya polisi ni kutaka sifa tuu na kujiona wao ndio wao,hiyo ilikuwa zamani,saa hizi kila mtu anaheshimu sheria za nchi,
 
Mimi sijawahi kuona mkuu wa Kambi ni Luteni.
Fala wewe jinga kubwa ndio maana umeajiriwa jeshi la akiba(mgambo).nimesema luten wa kambi alimuwakilisha mkuu wa kambi(OC)
 
Andika vizuri Nanga mkubwa wewe!!
Usilete ujanja wa Kei hapa.
 
Siwapendi sana hawo jamaa,tukio hili nimeliunga100% na nimependa polisi kutoingilia.
umeunga mkono mwanajeshi kipigwa?, au umeunga mkono waliojichukulia sheria mkononi kutowajibishwa? au umeunga mkono luteni kusuluhisha hilo jambo bila kuleta vurugu baadae? au unaunga mkono polisi kutoingilia kivipi? inaelekea nyie polisi wa huko mna hasira sana na wajeda wa huko kwenu. Nakushauri tena ondoa chuki mdumishe ulinzi na usalama wa nchi na raia, kwa vyovyote hata mbingu ishuke polisi hawezi kuwa sawa na mwanajeshi, na ni Tanzania pekee polisi kuitwa jeshi ila kwa nchi zingine polisi ni idara ya usalama tu na sio jeshi.
 
Wandugu habari,

Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.

Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.

Source:ebony

MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
tunatu,mai wanajeshi wetu wanalipwa vizuri maana si kwa hizi kodi
 
Muda wowote, mjiandae
Hapo icho kijiwe cha boda boda, lazima wajipange kisaikolojia. Maana Watakuwa wanapotea mdogo mdogo mpaka waishe ni mwendo wa SINGE kwenda mbele mpaka waishe
SINGE=Ni kisu cha mbele cha kwy bunduki, lazima watawazukia kwy vijiwe vyao watakula kichapo mpaka na wenyewe watakwenda apo SALVATION ARMY, kuomba msamaha yaishe.
 
Labda alitaka kusema Luteni Kanali. Hajui tofauti kubwa iliyopo katika vyeo hivyo viwili.
Msamehe bure ndio elimu yetu hiyo mnayojisifia ccm kuwa ya bure, kumbe bure kweli
Umemshambulia kijana wa watu bure. Kwani kwy mitahara yetu wanafundsha vyeo vya kijeshi mpaka umlaumu
 
umeunga mkono mwanajeshi kipigwa?, au umeunga mkono waliojichukulia sheria mkononi kutowajibishwa? au umeunga mkono luteni kusuluhisha hilo jambo bila kuleta vurugu baadae? au unaunga mkono polisi kutoingilia kivipi? inaelekea nyie polisi wa huko mna hasira sana na wajeda wa huko kwenu. Nakushauri tena ondoa chuki mdumishe ulinzi na usalama wa nchi na raia, kwa vyovyote hata mbingu ishuke polisi hawezi kuwa sawa na mwanajeshi, na ni Tanzania pekee polisi kuitwa jeshi ila kwa nchi zingine polisi ni idara ya usalama tu na sio jeshi.
Hata waitwe kampuni,nimeunga mkono tukio 100.9% watu wenye sifa hatuivani nao sie bodaboda,wangepoteza tuu kwanza kama ingewezekana.
 
Hapo icho kijiwe cha boda boda, lazima wajipange kisaikolojia. Maana Watakuwa wanapotea mdogo mdogo mpaka waishe ni mwendo wa SINGE kwenda mbele mpaka waishe
SINGE=Ni kisu cha mbele cha kwy bunduki, lazima watawazukia kwy vijiwe vyao watakula kichapo mpaka na wenyewe watakwenda apo SALVATION ARMY, kuomba msamaha yaishe.
Tumejitoa sadaka
 
Umemshambulia kijana wa watu bure. Kwani kwy mitahara yetu wanafundsha vyeo vya kijeshi mpaka umlaumu
Mkuu kuelimika ni kuwa na uwezo wa kujifunza na kuchambua kila lililo mbele yako. Utasubiri mitaala kwa jambo kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom