cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,118
Labda ametumwa tuMkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa
Labda ametumwa tuMkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa
Eti mkuu,mi nafahamu dunia nzima inaitwa POLICE FORCE na ukitafsiri maana ya force unazungumzia kijeshi kwa hiyo tukiita JESHI LA POLICE tumekosea?Acha kudanganya umma nchi kama Singapore,uganda,Nigeria,Indonesia na Guyambi polisi inaitwa force,nazipo nchi nyingi wanaita ivyoo just Google it.
Over!!
huyu mleta mada atakuwa miongoni mwao anajifanya kuleta update za kujifariji. watakapoanza kushughuikiwa mmojammoja aje pia hapa kuleta ushabiki wa kijinga anaoleta humuumeniwahi, nilitaka kusema hivyo 'watawafinya' kimya kimya bila kuacha kovu. 😀
Upo sawa kabisa Dogo G achana na huyo raia.Eti mkuu,mi nafahamu dunia nzima inaitwa POLICE FORCE na ukitafsiri maana ya force unazungumzia kijeshi kwa hiyo tukiita JESHI LA POLICE tumekosea?
LAZIMA WALICHEZEEHao jamaa hawachelewi kuharibu sharehe bodaboda mkae nao kwa akili amelihifadhi hilo.Kuhusu kiongozi wa jeshi heshima kwako hivi ndivyo inavyopaswa kuwa.
Na mimi niweke lugha mpya ya mjiniHuyo Kamanda Wa Jeshi Hakutaka Makubwa, Vinginevyo Bodaboda Wangeipata Fresh Maana Wanajifanya Wajanja Sana Kwa Kuchangia Mtu. Bodaboda Ni Wa Kuangalia Sana Kwa Jicho La Tatu Maana Ni Kikundi Sensitive Sana Kutekeleza Uhalifu Na Kujichukulia Sheria Mkononi
SI upo mafinga bodaboda tutaona nakusihi ulete mrejesho tuSijawahi kumuogopa mwanajeshi au polisi maishani mwangu.na ndivo nlivyo
Wacha tuoneLAZIMA WALICHEZEE
I respect them. Achana na hawa ninaona kila siku getini, pipo ziko mpakani na mi M 13 huko aijui halmashauri ana mwaka wa tatu halafu humuogopi wakati wengine umeme ukikatika tu anapiga kelele bafuni. Hawa ni wanajeshi wetu wapo kwa maslahi yetu. Incidence moja haiwaondolei heshima na hofu. Usiingie ktk 18 zaoSijawahi kumuogopa mwanajeshi au polisi maishani mwangu.na ndivo nlivyo