Sasa katika hilo lililotokea unadhan nafas yao ipoje,uonevu orBodaboda Ni Kikundi Tulivu Na Kinafanya Kazi Zao Kwa Amani Tu. Lakini Ni Vikundi Hatari Sana Kujichukulia Sheria Mkononi Na Kufanya Uhalifu. Wengi Wao Ama Walikuwa Vibaka Au Majambazi Au Shughuli Zingine Tata, Ndiyo Maana Huwa Hawana Huruma Kumfanyia Uhalifu Mtu Anayejiingiza Vibaya Kwenye Anga Zao. Akigongwa Bodaboda Kwa Bahati Mbaya Hawachelewi Kulipiza Kisasi Palepale Mara Mbili Yake. Wamekaa Mkao Wa Kihunihuni Tu. Bodaboda Ni Mojawapo Ya Biashara Ya Kihuni Mjini. Ina Mbilinge Nyingi Barabarani Kama Kuchomekeana Na Kuhatarisha Usalama Barabarani, Hawajali Zebra Na Alama Zingine Za Maonyo Barabarani. Ni Kero Tupu Barabarani
Ndio hivyo sheria inazingatiwa siku hizi.kungetokea vurugu za wanajeshi na raia bas hawo wanajeshi wangefukuzwa woteNi Busara Tu Imetumika Kuzuwia Maafa Yasiyo Na Ulazima Wa Kutokea, Vinginevyo Hao Bodaboda Wangepaswa Kupata Kichapo Ili Kuweka Heshima Kwa Jeshi
Ndio hivyo sheria inazingatiwa siku hizi.kungetokea vurugu za wanajeshi na raia bas hawo wanajeshi wangefukuzwa woteNi Busara Tu Imetumika Kuzuwia Maafa Yasiyo Na Ulazima Wa Kutokea, Vinginevyo Hao Bodaboda Wangepaswa Kupata Kichapo Ili Kuweka Heshima Kwa Jeshi
Ni busara tu za huyo mkuu wa Luteni ingekuwa sehemu nyingine au mkuu fyatu angefungulia nyuki ungesikia hata damu kumwagikaWandugu habari,
Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.
Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.
Source:ebony
MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Mh,kwahiyo wanajeshi ambavyo huwa wanawaonea raia? Ila yeye kupigwa kaonewa.tena nashukuru polisi wamejitoa kabisa kwenye huu mtanange maana ingeonekana nao wanataka sifa.viva police mafinga.Kujichukulia sheria mikononi haifai, watafutwe hao wananchi waliomshambulia mpiganaji. Hata kama ujana ulimsababisha akosee wasingestahili kumshambulia, walitakiwa wafuate taratibu za kisheria. Wakati wanajeshi wanaenda kumshugulikia kijana wao kwa taratibu za kinidhamu, Polisi wana wajibu wa kuwakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wote waliohusika kumshambulia.
Naam,luten kasema akipona wana interview nayeHeko kwa luteni tunahitaji wajeda kama hawa wanaoelewa kwamba jeshi letu ni taasisi inayosimamia haki na misingi ya Sheria
Sio wale wengine wavuta bangi wanao Dhani kuwa ukivaa bakabaka basi wewe upo juu sheria na utaratibu uliowekwa .
Akipona na ma MP wamshughulikie
Acha uongo wewe mwamunyange kajenga jeshi lenye nidhamu sana unampakaza matope jk tuKipindi cha jakaya watu mliteswa hovyo hovyo but now ni huyu mtenda haki.mmeona uonevu?