Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,025
- 7,631
Wakuu HABARI!
Hii tabia ya police au mahakama kuwaachia hawa wahalifu ambao hadi kweny jamii wanafahamika ni mbaya sana, kisa tu ushaidi au mashaidi hawajitokezi wakati wa kesi,unakuta kibaka mzoefu anakamatwa baada ya siku mbili tatu katoka jela au police,
Sasa kunduchi kule kuna kijana anaitwa Chanongo ,alishawai kushiriki kwenye matukio ya panya road,alishawai kumpora simu mke wa mwanajeshi akamjeruhi vidole vyote, akakimbia baadae akarudi na maisha yakawa yanaendelea, na akafungua kijiwe cha kuuza Bange kwenye uwanja wa mpira kule Kunduchi, polisi wa Kunduchi wanamfahamu, lakini sio wadilinae hata kumkamata, Jana kamtia kisu cha shingo askari wetu wa JWTZ, leo yule Askari amefariki dunia....
Watu kama hawa hawafai kwenye jamii yetu, tunamlea Hadi leo anaenda kuwaua wenyewe sasa, kijana mwenyewe ana miaka 22 tu! police wanafeli wapi sikuiz kucheka na hawa vibaka.....