UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Na ujanja wangu wote! Hakuna magari ambayo huwa ninayaogopa barabarani kama malori ya mizigo na pia mabasi ya abiria. Yaani huwa sipendi kabisa kuongozona/kukaribiana na magari ya aina hii.

Pole nyingi kwa wahanga wa hii ajali. Na marehemu wote wapate pumziko la milele.
 
Hata watu wanaokuona pia uko Driving school,huwa wanakushangaa,na kukuambia unapoteza pesa zako bure,ungejifunza mtaani tu yatosha.
Haya ni makosa ya serikali. Kulitakiwa kuwepo na shule rasmi zinazotambulika na leseni zitolewa na polisi kupitia hizo shule kama ilivyo shule za kawaida kutoa vyeti vya baraza la mtihani kama tu umepitia hizo shule.
 
sikiliza tbc... mbona raisi kashatuma salamu za rambirambi pia katoa maagizo kwa vyombo vya usalama mapema kabisa
Salam za rambirambi zitakuwa na maana kama zitaambatana na uchunguzi wa kina kuhusu chanzo cha ajali na recomendations za nini kifanyike na mwisho utekelezaji wa recomendations kwa vitendo.
 
Hatari sana...

Hivi sijui kama jeshi la polisi huwa linatunza takwimu za idadi ya ajali vs aina ya magari yanayosababisha ajali...
 
Write your reply...hii ajali ina watu wa kuwajibishwa, ni wale walioruhusu gari hiyo kutembea bila Kuwa na kile kigari hutangulia mbele kwa ajili ya usalama
...hii ajali ina watu wa kuwajibishwa, ni wale walioruhusu gari hiyo kutembea bila Kuwa na kile kigari hutangulia mbele kwa ajili ya usalama

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom