Kindly revisits you law books!Tatizo ndio lipo hapa tunachanganya mambo na kuweka kila kitu kwenye kapu moja kwenye mkataba ‘value of exchange’ ndani ya kampuni moja tu la simu vifurushi havilingani let alone huduma tofauti za biashara tofauti.
Muhimu hapo kuna mambo matano yanayoangaliwa kwenye ‘consensus in idem’ ili kampuni iwe na makosa lazima kuwe na ushahidi wa legal error (by contractual tests).
Kwenye vifurushi legal errors tatu ndio ambazo zinahusika:
Subject matter: wewe unadhani unanunua muda na data ambazo zinatakiwa zitumike mpaka ziishe, wakati wao wana offer minutes na data za kutumia ndani ya masaa waliyokuwekewa.
Bei; wewe unadhani hiyo ni bei ya data na minutes pekee; wao wanauza kifurushi ambacho kimeambatana na minutes, data and time limit kwa bei hiyo.
Nature: Wewe unadhani minutes na data ni independent, wao wanauza vyote ivyo kutumia ndani ya muda waliokuwekea umalize; usimalize juu yako.
Ni hivi ivyo vifurushi vingekuwa vimetangazwa vingine na wanachofanya ndio kungekuwa na tatizo la ‘legal error’, lakuweza kwenda mahakamani kwa madai ya consensus in idem.
Sasa tena ku compare sijui restaurant ambao wamekupa muda tu kwa ku book meza na kutumia, ukiisha na ujamaliza chakula ni haki yako kuondoka nacho similary Tanesco wanauza units ambazo hazina time limit.
In any contract the devil is in the details unatoa nini na kupewa nini which is exclusively that (unless were statute law provides other inclusive terms) lakini sio nani mwingine ana fanya nini.
kwahyo ni sahihi nikinunua zege muuzaji anipangia muda wa kulila?Bundles ni bidhaa kama chips mayai ambapo unaponunua tu kanuni za mkataba zina apply.
Uwezi kwenda kununua zege usipomaliza ukamfuata muhudumu akurudishie chenji kisa umeshiba kati kati it doesn’t work that way.
Hivi vyuo vyetu avifundishi masuala ya contract law
wakimuhurumia sana watamwekea mlungula mezani aachane na kesiKaka hii vita ni kubwa sana zaidi ya unavyofikilia yaani big company zote za simu asee nikuomba mungu maana apo watamwaga pesa ya nguvu kukupinga na ata kujaribu kukupiteza atleast ingekua kampuni 1 ila zote nne
All the best kaka sisi mchakato wa kesi ukianza tutafurika uko mahakamani
Wewe unit zako za umeme unazonunua unapewa expire date?,naomba jibu tafadhali.Bundles ni bidhaa kama chips mayai ambapo unaponunua tu kanuni za mkataba zina apply.
Uwezi kwenda kununua zege usipomaliza ukamfuata muhudumu akurudishie chenji kisa umeshiba kati kati it doesn’t work that way.
Hivi vyuo vyetu avifundishi masuala ya contract law
Aidha, niliitwa na ndugu wa TCRA kitengo cha walaji. Nilifanya nao majadiliano kuhusu mambo haya na kuwaeleza nia yangu ya kuhakikisha Mtanzania analindwa. Nimeelewana nao vizuri.
Zaidi, wanaandaa kikao ambacho kitakuwa kati yangu, TCRA kitengo cha walaji, na makampuni yote ya simu. Mimi nilikusudia kuyashitaki makampuni manne(the big 4) lakini wao wamependekeza kikao kijumuishe wote. Ni jambo zuri na nimelipokea.
Why?Kindly revisits you law books!
kwahyo ni sahihi nikinunua zege muuzaji anipangia muda wa kulila?
Nimeelezea post # 84 not all sales agreements are equalWewe unit zako za umeme unazonunua unapewa expire date?,naomba jibu tafadhali.
BHuwezi mnyanganya sahani kisa muda wa lunch umeisha, halafu sio contract Law Ni "Law of Contract"