Vipi mkuu hapo kwenye Aya ya pili Kama muda umekwisha vipi hawaruhusu kuchukua chakula kilicho baki na kukitia ndani ya mfuko (au chombo chochote Cha kwako) then ukaenda kula mbele ya Safari ?
Units za Tanesco hua zina expire dates?
Tatizo ndio lipo hapa tunachanganya mambo na kuweka kila kitu kwenye kapu moja kwenye mkataba ‘value of exchange’ ndani ya kampuni moja tu la simu vifurushi havilingani let alone huduma tofauti za biashara tofauti.
Muhimu hapo kuna mambo matano yanayoangaliwa kwenye ‘consensus in idem’ ili kampuni iwe na makosa lazima kuwe na ushahidi wa legal error (by contractual tests).
Kwenye vifurushi legal errors tatu ndio ambazo zinahusika:
Subject matter: wewe unadhani unanunua muda na data ambazo zinatakiwa zitumike mpaka ziishe, wakati wao wana offer minutes na data za kutumia ndani ya masaa waliyokuwekewa.
Bei; wewe unadhani hiyo ni bei ya data na minutes pekee; wao wanauza kifurushi ambacho kimeambatana na minutes, data and time limit kwa bei hiyo.
Nature: Wewe unadhani minutes na data ni independent, wao wanauza vyote ivyo kutumia ndani ya muda waliokuwekea umalize; usimalize juu yako.
Ni hivi ivyo vifurushi vingekuwa vimetangazwa vingine na wanachofanya ndio kungekuwa na tatizo la ‘legal error’, lakuweza kwenda mahakamani kwa madai ya consensus in idem.
Sasa tena ku compare sijui restaurant ambao wamekupa muda tu kwa ku book meza na kutumia, ukiisha na ujamaliza chakula ni haki yako kuondoka nacho similary Tanesco wanauza units ambazo hazina time limit.
In any contract the devil is in the details unatoa nini na kupewa nini which is exclusively that (unless were statute law provides other inclusive terms) lakini sio nani mwingine ana fanya nini.