Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Kaka hii vita ni kubwa sana zaidi ya unavyofikilia yaani big company zote za simu asee nikuomba mungu maana apo watamwaga pesa ya nguvu kukupinga na ata kujaribu kukupiteza atleast ingekua kampuni 1 ila zote nne
All the best kaka sisi mchakato wa kesi ukianza tutafurika uko mahakamani
 
Huwezi mnyanganya sahani kisa muda wa lunch umeisha,
It depends on the offer kama nauza buffet eat as much as you want kuanzia saa saba mchana mpaka saa nane. Aina maana kwa sababu hupo ndani ya mgahawa uendelee kula muda ukiisha.

Issue hapo ni what is being offered, kifurushi kina muda na expire time na hicho ndio unachonunua (what is being offered) kutumia kiasi fulani cha dakika na data ndani ya muda maalum kwa bei husika.

Ikiisha muda wa value of exchange given on the offer bye bye aijalishi umetumia nini.
 
Pia kuna usumbufu wa mtu ananunua line, asipoitumia kwa muda Fulani, wanaiuza kwa mtu mwingine.Unapiga ukijua unampigia fulani kumbe iliishauzwa kwa MTU usiyemjua!
 
Pamoja sana wakili. Tanzania na wananchi wake wanahitaji sana watu kama ninyi. Mwenyezi Mungu akutangulie kwenye vita hii. Hakika unafanya jambo la maana sana na utakumbukwa daima.
 
Narudia tena kusema, kugusa makampuni ya simu ni kugusa maslahi ya moja ya chanzo kikuu cha mapato cha serikali...

Terms zozote zitazofikiwa kama muafaka bado zitaegemea kwa makampuni ya simu
 
Bundles ni bidhaa kama chips mayai ambapo unaponunua tu kanuni za mkataba zina apply.

Uwezi kwenda kununua zege usipomaliza ukamfuata muhudumu akurudishie chenji kisa umeshiba kati kati it doesn’t work that way.

Hivi vyuo vyetu avifundishi masuala ya contract law
Ndio maana muuza chips hakupangii muda wa kumaliza zege yako...hata ukila mwezi mzima isup to you so makampuni ya simu pia yanatakiwa yakuache utumie bundle zako mpaka utakapomaliza sio kwa muda waliokupangia. 9
 
Nishasikia kikao basi mchezo kushney....

Hao TCRA wenyewe wanajua hili na walaji wameshalalamika sana lkn wanajifanya hawalioni, hivi hapo umeitwa itapenyezwa rupia hapo huku TCRA wakiwa ndio wapatanishi na baada ya kupewa kipande chako utakua kimya hatutakusikia tena,na Jf utapotea kabisa
 
Naona Airtel wamekubali kiaina nlijiunga kifurush Cha buku mbili internet kwasiku tatu wakanipa 2GB sa Jana nikadowload vitu leo waniambia 2GB zimeisha Ila Cha ajabu natumia internet bila shida nafkir kesho ule muda ukifika ndo mkataba wangu na wao kwa kifurush Cha 3days ndo utafikia kikomo.

Hongera Sana mzee unastahili ukakae pale bungen uwasaidie vijana wamle wabadilike kidogo
 
Ndio maana muuza chips hakupangii muda wa kumaliza zege yako...hata ukila mwezi mzima isup to you so makampuni ya simu pia yanatakiwa yakuache utumie bundle zako mpaka utakapomaliza sio kwa muda waliokupangia. 9
Ndugu mkataba unakitu kinaitwa either ‘consensus in idem’, consideration au value of exchange.

Hizo ni terms zinazo specify utatoa nini na kupata nini, muuza chips kama ajakuwekea muda wa kumaliza kula awezi kukufukuza, halikadhalika ukienda restaurant ambazo zenye table booking kwa muda, time ikifika you would have to leave ata kama ujamaliza.

Kwenye kifurushi unaelezewa wazi what you will get in usage at a charge, that is the contract there is the time limit in the package.
 
Ndugu mkataba unakitu kinaitwa either ‘consensus in idem’, consideration au value of exchange.

Hizo ni terms zinazo specify utatoa nini na kupata nini, muuza chips kama ajakuwekea muda wa kumaliza kula awezi kukufukuza, halikadhalika ukienda restaurant ambazo ni za table booking kwa muda, time ikifika you would have to leave ata kama ujamaliza.

Kwenye kifurushi unaelezewa wazi what you will get in usage at a charge, that is the contract there is the time limit in the package.


Kifurush wanakwambia tunakupa 1GB kwasiku Moja maanayake nn kwamba ndan ya siku nzima Yan 24hrs utaperuz mpaka 24hrs ipite Sasa wao wanatumia lugha ya kuhun kibiashara kwamba nakupa 1gb for 1day hvyo n vitu viwili tofaut wachague wanipe 1gb au 24hrs a day unlimited data nasio mbwembwe za kuhun ambazo zinamkandamiza mlaji mbona postpaid huwa Haina ujuaji we piga uwezavyo mwisho wa mwezi bill inakuja lipa nahuku pre paid inatakiwa Kama n 1gb iwe hvyo mpaka uimalize sawa hata Kama n miaka mitatu n yangu Kama 1day sawa mpaka siku ipite n yangu.


Kwanza hatutakiwi kujiunga ndo tuwe kwenye normal rate ilitakiwa ukiweka voucher ndo unapiga kwa normal rate na kujiunga n maboresho ya kumvuta mteja Yan wanakuwa chin ya normal rate ili kumvuta customer alieko mtandao a aende mtandao b n hayo mzee hxo T&C n za kihun
 
Back
Top Bottom