Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Ndugu mkataba unakitu kinaitwa either ‘consensus in idem’, consideration au value of exchange.

Hizo ni terms zinazo specify utatoa nini na kupata nini, muuza chips kama ajakuwekea muda wa kumaliza kula awezi kukufukuza, halikadhalika ukienda restaurant ambazo zenye table booking kwa muda, time ikifika you would have to leave ata kama ujamaliza.

Kwenye kifurushi unaelezewa wazi what you will get in usage at a charge, that is the contract there is the time limit in the package.
Kwanza kabisa hakuna consensus ad idem kati ya provider na end user...hizo term provider alishazi tengeneza prior, kwa mtumiaji wa mwisho zinakuja as they are, you take it au you leave it.

Ndo mana wakili msomi anataka ku challenge. Mara nyingi Mahakama huwa ina interpreate hizo terms zilizotengenezwa bila bargaining in favour of the weaker party ( contra preferendum rule).
 
hao walaji waangalie kwa makini kwani wao ndio walitakiwa kututetea lakini muda mwingi wamekuwa kimya ungeenda mahakamani ungefukua uozo wao na kuonyesha jinsi gani TCRA hawako kwa ajili ya kusimamia mawasiliano bali wako kwenye payroll ya makampuni ya simu
 
aldeo,

Huo ndio utaratibu wa vifurushi duniani hakuna tofauti na wanachofanya hayo makampuni ya simu in pre-payment

Hayo mengine ya baadhi ya kampuni kuamua kukuachia muda wako uliobaki utumie ukinunua kifurushi kingine ni marketing ploys, but the offer is clear wanatoa nini na kwei gani; ukinunua huo ndio mkataba simple.

Ngoja aende mahakamani ndio watampa majibu hakuna kosa hapo la kisheria ni biashara tu.
 
Kilatha,


Lete wa Tanzania mzee huo uk huku hautuusu alafu ukitaka kufanya Jambo makini usijipime kwa mzungu jipime kwa mizan ibalance sawa
 
Kwanza kabisa hakuna consensus ad idem kati ya provider na end user...hizo term provider alishazi tengeneza prior kwa mtumiaji wa mwisho zinakuja as they are, you take it au you leave it.

Ndo mana wakili msomi anataka ku challenge. Mara nyingi Mahalama huwa ina interpreate hizo terms zilizotengenezwa bila bargaining in favour of the weaker party ( contra referendum rule).
Consesus an Idem is not independent in contract law it is used to justify the existence of an ‘offer and acceptance’ rules, it is part of the elements which must exist for a contract to be deemed valid.

Offer au ‘invitation to treat’ as most adverts/product displays/sales packages are deemed to ailazimishi mtu.

Unaponunua (accept) ina maana umekubali (offer) iliyo mbele yako na ndio umeingia huo mkataba.

Kama uliambiwa kifurushi kinafanya kazi vipi hizo ndio terms zenyewe, ukumaliza minutes au data that is not their problem kwa sababu offer ilikuwa na time limit, this is where the consensus in idem is identified.
 
Lete wa Tanzania mzee huo uk huku hautuusu alafu ukitaka kufanya Jambo makini usijipime kwa mzungu jipime kwa mizan ibalance sawa
The idea is to compare contractual terms kuonyesha kinachofanywa na haya makampuni ya simu siyo unique Tanzania pekee that is the sales strategy in global telecommunications.
 
Kilatha
Nakubaliana na wewe but mtu akiona ananyonywa kwa terms ambazo haku negotiate kuzitengeneza na ukaona zina kubana, sheria inakuba fursa ya kuzichallane( contra prefferundum rule).
Consusus iliopo kati ya provider na end user is not obtained ina free will of both parties....yaan "ukitaka chukua ukitaka acha".
 
CCM ina hisa Vodacom nayo imeunga mkono unyonyaji huu wa Wanyonge.

Take care na maisha yako lakini Mkuu Yakubu.
 
Nakubaliana na wewe but mtu akiona ananyonywa kwa terms ambazo haku negotiate kuzitengeneza na ukaona zina kubana, sheria inakuba fursa ya kuzichallane( contra prefferundum rule).
Consusus iliopo kati ya provider na end user is not obtained ina free will of both parties....yaan "ukitaka chukua ukitaka acha".
Hapo uliposema “ukitaka chukua, ukitaka acha” ndio misingi ya mkataba wowote wa manunuzi; hakuna anaelazimishwa, hila ukinunua inabidi ukibali matokeo.

Na sio baadae aanze kulalamika sijui sikumaliza it doesn’t work that way.

Ndio maana kuna manunuzi mengine nchi za wenzetu yamewekewa legal capacity of age na psychology.

Mfano ulaya uwezi kumuuzia mtoto wa miaka 17 kushuka chini nyumba au kumpangisha bila ya kushirikisha mtu mzima; vivo ivyo kwa mtu mwenye serious psychological/learning disability kwa sababu chances aelewi anaji commit na nini.

Lakini mtu mzima na akili zake timamu kununua kifurushi cha simu na kuanza kulalamika; sijui lakini chances are mahakama kwenye nchi za wenzetu awawezi poteza muda kusikiliza kitu kama icho
 
Mkuu Bashir Yakub hongera kwa unalopigania, Ila nilikuwa na swali mfano ukishinda utalipwa Fidia au ni kwamba utakuwa umechangia kubadili sheria/muongozo wa hayo mambo yako matano?..
 
Nadhani kwa tz yetu binafsi nakupa no.2 baada ya mzee wetu mstaafu Assad kwa uwazi, confidence na professionalism
 
Safi sana. Endelea Kwa barala zote za watanzania. Kama tunao mawakala wa shetani, hatuwezi kukosa mawakala wa mabepari na mabeberu. Najua hakuna wa kukulipa, lkn furaha na amani za watanzani hi baraka tosha kwako
 
Biashara ya telco kwa vifurushi ni ya muda.. kwa jinsi gharama zinavyo shuka tutarudi kwenye Pay As You Go . Kwa hiyo kesi yako haina mashiko kabisa utapoteza muda wako.

Kwa kasi ya technolgy na urahisi wa mambo kutakua na baishara za aina mbili.

1. Wavivu kununua vocha wataenda kwenye post paid

2. Wakwangua vocha watapiga on demand ( Pay as you go).

Vifurushi tutawachia supermarket.
Kwa ulivyoandika tu inadhihirisha we ni mdau wa makampuni ya kinyonyaji....hata Kenya wakili aliambiwa anapoteza muda ila matokeo yake yameonekanà...by the way huwa nasikitika sana kuona mwajiriwa anashirikiana na mwajiri kunyonya wengine...maana mwajiriwa siku ajira ikiisha anaondolewaga kama takataka
 
It depends on the offer kama nauza buffet eat as much as you want kuanzia saa saba mchana mpaka saa nane. Aina maana kwa sababu hupo ndani ya mgahawa uendelee kula muda ukiisha.

Issue hapo ni what is being offered, kifurushi kina muda na expire time na hicho ndio unachonunua (what is being offered) kutumia kiasi fulani cha dakika na data ndani ya muda maalum kwa bei husika.

Ikiisha muda wa value of exchange given on the offer bye bye aijalishi umetumia nini.
Na hili la kutoa matangazo yao kwa kukusikilizisha limo kwenye mikataba pia kuwa tupokee matangazo yao bure?
 
Ndugu wakili MUNGU akuongoze katika hili. Haya makumpuni yanatuibia sana, lakini serikali yetu ipo kimya.
 
Back
Top Bottom