Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Mitandao ya simu imetufanya tumekuwa malaya wa vifurushi.Ukisikia nafuu huku unakimbilia huko.
 
Wakuu kisiki alichokwaa yule bwana ni hiki...mtandao flan niliuliza live baadhi ya hoja zake..eg.ku expire airtime (mkate wangu kwann unipangie mda wa kuula?)...

Jamaaa walichojibu kwambaa wao wanauza vocha ambayo ukiweka unaruhusiwaa kutumia sio lazma ujiunge. Kwa hyo swala la kulalamikia muda kuisha sio sahihi coz vocha ukiweka hata usipotumia mwaka utaikuta kama ilivo..

So inshort , wanazengoo mitandao walismamia hapo .nmeeleza majibu nliyopewa mm na mtandao mmoja pendwa nilijaribu kuwaslisha hoja za mwanasheria wetu. Tuzidi kuvuta subira pengne jamaa anajipanga vzr...
 
Wakati wa maandamano SUDAN, mitandao yote ilizimwa .Mwanasheria mmoja akaenda mahakamani kushtaki, mahakama ikaamuru arejeshewe huduma hiyo, serikali ikaruhusu arejeshewe yeye tu kwahiyo akawa yeye tu ndio mwenye huduma.Pengine na huyu jamaa mitandao imeamua kumtatulia hizo kero peke yake, kwa makubaliano kuwa akae kimya,au alipotatuliwa hizo kero akajua kuwa kila mtu mambo yamekuwa safi.
 
Wanasheria ni watata sana muda mwingine
 
Back
Top Bottom