Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,718
- 12,373
Au wa ndugu yake au wa mchepuko wake yote yanawezekana.Unampakulia minyama mtoto wako au sio
Au wa ndugu yake au wa mchepuko wake yote yanawezekana.Unampakulia minyama mtoto wako au sio
Acha matusi mkuu, unatokana kijiji? 😂Kwenu kuna wajinga wengi kwelikweli
Wewe fala tu. Nilidhani Justine ana A zote kumbe ana B 2.Are you serious kumuita ni genius?Au wa ndugu yake au wa mchepuko wake yote yanawezekana.
Hoja hapa ni kwamba huyu mtoto kwa ufaulu wake wa wastani wa A alitakiwa kupata nafasi kwenye shule maalum au za vipaji badala ya kupelekwa kwenye shule ambazo wengine wana wastani wa C.Kusoma sio kua na akili tu za darasani na uwezo wa kusomesha pia ni muhimu, siku hizo kusona ni pesa sio akili za darasani.
Kwa nini ushindani ni mkubwa? Hakuna shule za kutosha za vipaji maalum? Maana tumeona ufaulu kwa ujumla haukuwa mzuri (waliopata wastani wa A hawakuwa wengi).Kuna shule wanafunzi wana A wote, na wote shule ya kata wamepangiwa, ushindani ni mkubwa sana,
Wapo elfu 50 na usheeKwa nini ushindani ni mkubwa? Hakuna shule za kutosha za vipaji maalum? Maana tumeona ufaulu kwa ujumla haukuwa mzuri (waliopata wastani wa A hawakuwa wengi).
Jaribu kufikiri kwa kina utaiona seriousness yangu!. Shule ya kijijini! Halafu hao waliopangwa shule za BWENI ndo waliokidhi?Watoto wamepata A zote wamepangwa shule za kata, afu unataka mwenye B mbili apangwe shule za bwen are you serious?
Hawafanyi upembuzi wowote ni sawa na kuinamisha KAPU lenye bidhaa waache UVIVU.Kuna shule wanafunzi wana A wote, na wote shule ya kata wamepangiwa, ushindani ni mkubwa sana,
Hii ndo inauma sanaa yaan.Unapoteza muda tu Ndugu yangu
Shule za vipaji zipo ngapi Tanzania nzima miaka hii ambapo Kuna raia milioni 60?
Shule hizi hazijawahi kuongezeka sana sana labda zimepungua. Huyo unaemzungumzia ana B mbili yupo mwingine hapa nyumbani ana A zote kapelekwa Vikindu sekondari
unakuta mtu kasoma St Fulani, anapangwa Mfaranyaki secNasr Mohamed Mchengerwa kasoma FEZA PRIMARILY SCHOOL kapangiwa AZANIA.
Mwingine njnayemfahamu pale pale Feza alipata A zote ispokuwa Uraia, kapangiwa Kawe Ukwamani.
Mwisho wa siku maokoto yako ndiovyatafanya mwanao akasome wapi...
Mwanangu kapata A zote kapangiwa kisarawe 2Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.
Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya darasa la 7 kupitia shule aliyosoma inayoitwa MAJAWANGA P/S, nimeishi Dar kwa sasa niko huku mpakani mwa Morogoro na Dodoma ndipo nikaifahamu shule hii kwa jina na kupitia wanafunzi wanaosoma hapo kutokana na kuwauliza.
Matokeo ya daresay la 7 yalipotoka nikashawishika kuangalia ufaulu wao ndipo nilipokutana na jina hili JUSTINE JULIUS MFUNDO.
Kijana pekoe aliyefaulu kwa kupata wastani wa A yaani kapata alama B katika masomo mawili tu yaani ENGLISH na URAIA Masomo mengine yote ni A.
Nikashawishika kuona wenye dhamana ya kuwapangia wanafunzi shule za sekondari watampangia wapi?
Kama kawaida kijana kapangwa kwa MKULULO wa wote HAYA nyote mliomaliza hapa MAJAWANGA P/S mtaelekea PANDAMBILI SEC SCHOOL.
Hii siyo sawa kwa Afya ya taifa linalohitaji MAGENIUS kuja kulisaidia taifa Lao, nani sasa anayetambua uwezo kama huu wa hawa watoto.
Au wanaangaliwa wale watoto wanaosoma hizi shule za kugharamiwa na wazazi?
Taifa lisisubiri mpaka Mwanafunzi afikie elimu ya juu ndipo limpe MKOPO wa science, huyu HAITAJI MKOPO anahitaji kupelekwa shule za VIPAJI.
Mwalimu wake anajisikiaje ? Mwanafunzi huyu kutothaminiwa ? Au kwa sababu mwanafunzi huyu yuko KIJIJINI?
Hivi wanafunzi gani wapo pale MAZENGO ? Wote watakuwa na ufaulu zaidi wa huyu? HATA kama basi na yy kutokana na mazingira yake anaweza kufanya zao ya hao WATEULE wenu.
MBUNGE WA KONGWA ,mtembele kijana huyu na umsaidie ,hili litachochea na wengine na wengine kufanya vzr na hata waalimu kuna faraja watapata.
Tupunguze kuandaa wachunga MBUZI.
Mkuu wangu!! Nimejaribu kupitia shule nyingine ya nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam lkn kijiografia wapo MKURANGA.Mkuu! Siku hizi wanaopata wastani wa 'A' ni wengi! Shule nyingi za kata zinachanganya na hao wa 'B' na wengi wao zaidi ya %90 ni 'C' Hata hivyo kulingana na uwezo wa wazazi wakati mwingine kusoma kutwa kwa shule ya karibu ni nafuu zaidi kuliko kupelekwa shule za bweni zilizombali na gharama za nauli na mahitaji lukuki kama sanduku, mashuka, n.k
2012 matokeo yalitoka ki marks, na ndo mwaka wa mwisho kutoka ki marks std 7,Saizi nadhani ufaulu umeongezeka zaidi., 2012 nikiwa na AAABB - average A nilipangiwa shule ya ufundi
Ina kufurahisha? Au unadhani kuna UVIVUMwanangu kapata A zote kapangiwa kisarawe 2
Ni kweli, nimejaribu kuhusianisha grade maana niliona passmark zangu. By the way nilikuwa na marks 225.. masomo matatu 45+, masomo mawili 40+2012 matokeo yalitoka ki marks, na ndo mwaka wa mwisho kutoka ki marks std 7,
Ila kuanzia 2013 ndo ilianza kwa Grade. Na mwaka ule kuanzia 210 marks ndo unaenda vipaji, ufundi na bweni.
Nilipata marks 223 nilienda zangu shule ya bweni.
Shule za vipaji zingebaki chache labda kwa sababu miaka hii hakuna vipaji labda ila SHULE ZA BWENI WANGEZIONGEZA TU. Haina maana mtoto aliyepata A zote au kuwa na B moja ukamuweka darasa moja na mtu mwenye C zote au pengine ni C na D zote. Huu no uhuni aise.Hii ndo inauma sanaa yaan.
Sasa we baba zima uende kutia hivyo vijukuu vyako kweli?huoni hata kinyaa?Hayo ndiyo matokeo ya kijijini kwetu! Najiandaa kwenda huko kula tunda kimasihara kwa hao vilaza waliopata D, maana wote nawajua